Kuna mtu kaniibia mali zangu, ninampango wa kuwasiliana na Consultant [HASHTAG]#Mshana[/HASHTAG] jr. kwa hatua zaidi. 😀😀😀😀😀umefanya jambo jema sana
ukimuona nyoka usipomuua atakuua wewe
usisikilize ya wajf
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Wakuu Nilikwenda Sehemu Flan Kurekebisha Mambo Yetu Ya Jadi. Adui Yangu Yanamrudia Yale Yale Kapasuliwa Mdomo Na Mwiko Umevimba Kama Nundu.Yani Mule Mule Alimotaka Yanitokee Yanamrudia Yeye Kachakaa Kabisa Nimeamini Makorokoro Ya [HASHTAG]#mshanajr[/HASHTAG] Ya Kweli.
Tatzo unawaza chooni me nimesema Mungu atukanyeSasa swala la kunya na hii mada wapi na wapi?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Tatzo unawaza chooni me nimesema Mungu atukanye
Mkuu hata kule baharini mvuvi anapotumbukiza ndoano yenye chambo kuna samaki huwatahadharisha wenzao kutokuingia kwenye mtego huo kwani mwisho wake ni kuvuliwa na kutokomea, wapo wanaosikiliza na kusalimika lakini wapo wabishi kama wewe huingia kwenye mtego wa chambo na bahati mbaya sana wanapovuliwa hakuna anayerudi majini kuwaeleza waliobaki yanayojiri huku uraini kwani huishia kukaangwa na kufanywa kitoweo,matokeo yake waliobaki baadhi yao hujipa moyo (kama wewe unavyojipa moyo) kwamba labda waendako ni pema tu,na matokeo yake sisi tunaendelea kupata kitoweo kiulaini.Unauhakika gani kama jehanamu IPO ? Hayo ni mambo ya kufikirika tu hakuna aliye na uhakika kuwa kuna bingu na jehanamu, wazungu walitumia mbinu mbadala ili watutawale kimawazo zaidi, tutabaki watumwa siku zote kuanzia kidini hadi maisha.