Aliyeliyesomea insurance anaitajika

Aliyeliyesomea insurance anaitajika

clarinto

Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
44
Reaction score
8
katika harakati za kujiajiri nimeona nifungue uwakala wa bima mimi pamoja na wezangu, tatizo bado hatujafanikiwa kupata mtu mwenye elimu ya insurance,, mimi binafsi nina uzoefu wa kaz hiyo japo sijasomea kwaiyo natafuta mtu aliyesomea na kupata chet.. sifa awe na miaka 22-35, awe amehitimu katika chuo kinachotambulika na serikali na kupata cheti,
awe teali kukabiliana na changamoto zitakazo jitokeza,
awe na hofu ya mungu..
awe anaishi dar au morogoro..
ofisi itakuwepo morogoro msavu jirani na stend ya mkoa. kwa aliyeteali anipigie kwa namba 0715-966596 au 0755-544855 msg zote zitajibiwa

natanguliza shukrani zangu..
 
hahaha...nina-qualify but unaweza kunilipa mkuu?
 
wawil ndio namiadi nao japo mmoja yupo moro nam nipo dar kwa sasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom