Mindyou JF-Expert Member Joined Sep 2, 2024 Posts 2,439 Reaction score 6,692 Jan 22, 2025 #1 Wakuu, Aliyekuwa anagombea Makamu Mwenyekiti upande wa Zanzibar Said Said ajiondoa kwenye kinyanga'nyiro hicho Pia soma Pre GE2025 - Nafasi ya Makamu Mwenyekiti Zanzibar kurudiwa baada ya kutokuwa na mgombea aliyefikisha zaidi ya 50% Your browser is not able to display this video.
Wakuu, Aliyekuwa anagombea Makamu Mwenyekiti upande wa Zanzibar Said Said ajiondoa kwenye kinyanga'nyiro hicho Pia soma Pre GE2025 - Nafasi ya Makamu Mwenyekiti Zanzibar kurudiwa baada ya kutokuwa na mgombea aliyefikisha zaidi ya 50% Your browser is not able to display this video.
zitto junior JF-Expert Member Joined Oct 7, 2013 Posts 22,738 Reaction score 36,248 Jan 22, 2025 #2 Bora amejitoa tu, huyu wakati anaomba kura aliishia kumshambulia Lissu badala ya kuomba kura za makamu mwenyekiti zanzibar. Bora apishe tu amuachie mwingine wajenge synergies na Lissu.
Bora amejitoa tu, huyu wakati anaomba kura aliishia kumshambulia Lissu badala ya kuomba kura za makamu mwenyekiti zanzibar. Bora apishe tu amuachie mwingine wajenge synergies na Lissu.