Aliyeko Mara-mugumu Tutafutane

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
693
Kama Unavojua Urafik Ni Kufahamiana, Leo Nimefika Mugumu-mara Naomba Marafiki Waliopo Huku Tuwasiliane Pm Kama Vipi.
 
Funguka kidogo basi,we ni ke au me ? Kama ke nikutupie pm fasta
 
Kama Unavojua Urafik Ni Kufahamiana, Leo Nimefika Mugumu-mara Naomba Marafiki Waliopo Huku Tuwasiliane Pm Kama Vipi.
Karibu sana FOUR SEASONS SAFARI LODGE MKUU, formerly known as Bilila.
Ni lodge moja nzuri tu kwa mapumziko, iko serengeti national park..
ukitokea Mugumu ni kama dakika 180 tu unafika!

usd 120 tu unaenjoy kwa siku nzima hotelini then unarudi mugumu!
 
Hii si ilifunguliwa miaka kama miwili iliyopita na mkuu wa kaya?

Imekuwaje ikabadilishwa jina?
 
Hii si ilifunguliwa miaka kama miwili iliyopita na mkuu wa kaya?

Imekuwaje ikabadilishwa jina?

Mkuu mbona unakuwa kama huijui bongo bhana!

hii hotel ya bilila (former name) ilifunguliwa mwaka 2009 june, kama sijakosea sana,

baada ya kempinsik kuondoka, wamekuja hawa jamaa wa four seasons safari lodge ndo wakaibadili jina kabisaa!

Sijaelewa mantik hasa iliyoko ndani ya kubadilishwa jina..

any way, JK huenda pale karibu kila mwisho/mwanzo wa mwaka! cha kushangaza ni kwamba hajawahi kuziungumza na wafanyakazi hata siku moja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…