Aliyebadili dini Sudan akutana na papa Francis

MeinKempf

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
11,092
Reaction score
7,235
Mwanamama raia wa Sudan aliyesamehewa adhabu ya kifo baada ya kubadili dini amesafirishwa hadi nchini Italia na kukutana na papa Francis baada ya kuwa kwenye ubalozi wa Marekani mjini Khartoum kwa zaidi ya mwezi mmoja.

Meriam Yahia Ibrahim Ishag na familia yake waliondoka na ndege ya serikali ya Italia wakiongozana na Waziri wa nchini Italia Lapo Pistelli.
Taarifa zinazohusiana

Baba wa Meriam ni muislamu na kwa Misingi ya sheria ya dini hiyo nchini Sudan Meriam pia ni muislamu na hawezi kubadili dini.

Meriam mwenyewe alilelewa na mama yake ambaye ni mkristo na kusema kuwa hajawahi kuwa muislamu.

Pistelli Naibu waziri wa mambo ya nje wa Italia, aliweka picha yake na Meriam kwenye ukurasa wake wa facebook akisema kuwa wanaelekea kutua mjini Roma.

Mume wa Meriam Daniel Wani, ni mkristo,ana asili ya Sudani kusini na ana uraia wa Marekani.

Mtoto wa Meriam, Maya alizaliwa gerezani mwezi May, muda mfupi baada ya kuhukumiwa kunyongwa hatua iliyosababisha ghadhabu dunia nzima.

Aliachwa huru mwezi Juni baada ya kuwepo kwa mashinikizo.

Source :BBC swahili.
 
Pongezi zake yeye aliyeitambua ile NURU ya kweli ya ulimwengu na kuifuata, na kuamua kutoka GIZANI.
 
Attachments

  • 1406286032394.jpg
    1406286032394.jpg
    20.6 KB · Views: 442
  • 1406286049911.jpg
    1406286049911.jpg
    27.8 KB · Views: 398
  • 1406286066253.jpg
    1406286066253.jpg
    13.5 KB · Views: 383
Mtoa mada mimi sijaona jipya hapo kama ulivyosema yeye baba yake ni muumini na mama yake ni kafiri, sasa mtoto kaamua kuwa kafiri hapo kauwasili vipi uislamu?
Pia hapo kwa papa nazidi kupata hofu na dini yenu yaani nyinyi mtu akikulia katika uislamu then akawa kafiri papa uwa anafurahi!
yote kwa yote angoje adhabu ya moto pindi atakapokufa katika imani hiyo ya kikafiri isiyojua tofauti ya Mungu na Mtume. Pole yake.
 
Sema baba yake alikuw gugu mwitu sio muumini. Allaaah!.
 
Hivi huyoi Kafiri.ni mslaamu au mkristooo
 
Na hili nalo wataandamana!!

Mungu wa kweli ni Mungu wa demokrasia. Ameandaa Pepo kwa wamchao na Moto kwa wasiomcha. Hamlazimishi mtu isipokuwa amempa mwanadamu uamuzi wa kuchagua yeye mwenyewe. Kama neno la Nabii Joshua kwenye biblia takatifu lisemavyo;

JOSHUA 24:15 Nanyi kama mkiona ni vibaya kumtumikia Bwana, chagueni hivi leo mtakayemtumikia; kwamba ni miungu ile ambayo baba zenu waliitumikia ng'ambo ya Mto, au kwamba ni miungu ya wale Waamori ambao mnakaa katika nchi yao; lakini mimi na nyumba yangu tutamtumikia Bwana.

Ukiona mungu anayemlazimisha mtu kumtumikia basi jua huyo ni yule aliyemfuata Yesu pale kilimani na kumwahidi milki zote za dunia kama angemsujudia.
 
wapi ati mtu kuzaliwa na muisilam basi ni muisilam.Imani yako ni yakwako na nafsi yako.Acha kuita watu makafiri hali ya kua nasi twakuona kafiri kwa kumkataa Yesu.
 
Waisrael wanamfuata huyo kwa maana wanamiliki uchumi wa dunia
 
Oooh my God! Nakushukuru kwa kunipa neema ya kuzaliwa mkristo.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
huyu dada amepitia mapito na majaribu mengi sana katika maisha yake nampa pole sana
 
Mwanamama raia wa Sudan aliyesamehewa adhabu ya kifo baada ya kubadili dini amesafirishwa hadi nchini Italia na kukutana na papa Francis baada ya kuwa kwenye ubalozi wa Marekani mjini Khartoum kwa zaidi ya mwezi mmoja.

Meriam Yahia Ibrahim Ishag na familia yake waliondoka na ndege ya serikali ya Italia wakiongozana na Waziri wa nchini Italia Lapo Pistelli.
Taarifa zinazohusiana

Baba wa Meriam ni muislamu na kwa Misingi ya sheria ya dini hiyo nchini Sudan Meriam pia ni muislamu na hawezi kubadili dini.

Meriam mwenyewe alilelewa na mama yake ambaye ni mkristo na kusema kuwa hajawahi kuwa muislamu.

Pistelli Naibu waziri wa mambo ya nje wa Italia, aliweka picha yake na Meriam kwenye ukurasa wake wa facebook akisema kuwa wanaelekea kutua mjini Roma.

Mume wa Meriam Daniel Wani, ni mkristo,ana asili ya Sudani kusini na ana uraia wa Marekani.

Mtoto wa Meriam, Maya alizaliwa gerezani mwezi May, muda mfupi baada ya kuhukumiwa kunyongwa hatua iliyosababisha ghadhabu dunia nzima.

Aliachwa huru mwezi Juni baada ya kuwepo kwa mashinikizo.

Source :BBC swahili.

Pongezi zake yeye aliyeitambua ile NURU ya kweli ya ulimwengu na kuifuata, na kuamua kutoka GIZANI.

Na hili nalo wataandamana!!

Mtoa mada mimi sijaona jipya hapo kama ulivyosema yeye baba yake ni muumini na mama yake ni kafiri, sasa mtoto kaamua kuwa kafiri hapo kauwasili vipi uislamu?
Pia hapo kwa papa nazidi kupata hofu na dini yenu yaani nyinyi mtu akikulia katika uislamu then akawa kafiri papa uwa anafurahi!
yote kwa yote angoje adhabu ya moto pindi atakapokufa katika imani hiyo ya kikafiri isiyojua tofauti ya Mungu na Mtume. Pole yake.

Sema baba yake alikuw gugu mwitu sio muumini. Allaaah!.

Boraaa amekujaa sehemu salaama

Mungu wa kweli ni Mungu wa demokrasia. Ameandaa Pepo kwa wamchao na Moto kwa wasiomcha. Hamlazimishi mtu isipokuwa amempa mwanadamu uamuzi wa kuchagua yeye mwenyewe. Kama neno la Nabii Joshua kwenye biblia takatifu lisemavyo;

JOSHUA 24:15 Nanyi kama mkiona ni vibaya kumtumikia Bwana, chagueni hivi leo mtakayemtumikia; kwamba ni miungu ile ambayo baba zenu waliitumikia ng'ambo ya Mto, au kwamba ni miungu ya wale Waamori ambao mnakaa katika nchi yao; lakini mimi na nyumba yangu tutamtumikia Bwana.

Ukiona mungu anayemlazimisha mtu kumtumikia basi jua huyo ni yule aliyemfuata Yesu pale kilimani na kumwahidi milki zote za dunia kama angemsujudia.

wapi ati mtu kuzaliwa na muisilam basi ni muisilam.Imani yako ni yakwako na nafsi yako.Acha kuita watu makafiri hali ya kua nasi twakuona kafiri kwa kumkataa Yesu.

Mbona kuandamana ni jadi yao... ila hii ni kidhibiti kuwa hakuna siku katika dunia hii hila ikaishinda haki.

Mtoa mada kwanza nikushukuru sana kwa mada hii pia niwashukuru wachangiaji wengine, kabla ya kuhitimisha nifanye masahihisho ya ujumbe wa mtoa mada, yule Meriam hakusamehewa bali kwa kukwepa vikwazo vizito kwa nchi ya Sudan mahakama ya rufaa ilijifanya kuwa hukumu dhidi ya Meriam ilikuwa batili, ikafuta hukumu yake, Serikali ya Khatoum haikuwa huruma na yule mwanamke just imagine ilifanyanya ukatili mkubwa hata wakati Meriam anajifungu mle gerezani ambapo alijifungua akiwa sakafuni, Mungu akamtia nguvu Meriam na wanawe Milango ya gereza la Khatoum ikafunguka, wakabaki wameduwaa. Wakati wakishangaa meno nje wakaambiwa binti yuko Khatoum Airport anajiandaa kutimkia Marekani, wakamkamata kwa kisingizio kuwa hati zake za kusafiria ni feki, Serikali ya Sudan Kusini wakawaambia ni hati halali toka South Sudan, wakamwachia tena. Shame on sharia law.

Uislamu Umetukataza kuuza Akhera yetu kwa thamani ndogo ya kidunia. Hakika huyo ameshalipwa hapa duniani, akhera atakua amefilisika. Umasikini usikupelekee kukana dini yako.

Huyo amesha kua kafiri, na atalipwa kama watakavyo lipwa makafiri wengine.

42_20.GIF

20. Mwenye kutaka mavuno ya Akhera tutamzidishia katika mavuno yake, na mwenye kutaka mavuno ya duniani tutampa katika hayo, lakini katika Akhera hana fungu.
 
; lakini mimi na nyumba yangu tutamtumikia Bwana. [/COLOR]

Ukiona mungu anayemlazimisha mtu kumtumikia basi jua huyo ni yule aliyemfuata Yesu pale kilimani na kumwahidi milki zote za dunia kama angemsujudia.

Naam naaam!,,
 
mkuu hebu nenda kibarazani ukalale kwenye mkeka wakat ukisubiri futari.. Naona hapa unamwaga pumba tu.

Haahahah hahahahahahahhhh...umempa za uso!!. harudi tena huyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom