Nashukuru, nina degree ya animal scienceSema na level yako pia itawasadia watu kukusaidia kwa urahisi
Soma vitini vyako vya chuo kama unavyoNashukuru, nina degree ya animal science
Ahsante nitaufanyia kazi ushauri wako ingawa vitini Sina nitavitafutaSoma vitini vyako vya chuo kama unavyo
Poleni na majukumu Wana jamvi , nimda Sasa tangu zilipotangazwa ajira za mifugo, hvyo tunategemea huenda mda si mrefu mkeke ukatoka wa kuitwa kwenye usaili, hvyo natamani nianze maandalizi mapema kama nitapata bahati ya kuitwa basi itakua vema , nakama sitapata yote mema. Hvyo naomba msaada Kwa aliye na sample ya paper zao za usaili,
Natanguliza shukrani zangu , ahsanteni sana
Ata sisi ni mwezi wa Tano tulipoaply, najua kwamba ni mwezi wa tisa, lakini si unajua siku hazigandi, mwezi wa tisa sio mbali,Ume apply juzi hapa we subiri mwezi wa tisa [emoji16]
Wenzako tumeomba toka mwezi wa tano hadi leo hollah
Usishangae mbona inawezekana kabisa, kama hujawahi kuziona ww tulia ,"...sample za pepa zao za usaili" kazi kweli kweli.
Soma vitini vyako vya chuo kama unavyo
(utani) kama unaenda kufanyia interview mifugo vile. kichwa cha habaru chaeleza.Poleni na majukumu Wana jamvi , nimda Sasa tangu zilipotangazwa ajira za mifugo, hvyo tunategemea huenda mda si mrefu mkeke ukatoka wa kuitwa kwenye usaili, hvyo natamani nianze maandalizi mapema kama nitapata bahati ya kuitwa basi itakua vema , nakama sitapata yote mema. Hvyo naomba msaada Kwa aliye na sample ya paper zao za usaili,
Natanguliza shukrani zangu , ahsanteni sana