Aliye kama huyu aje pm tuongee

unapenda vigoroa mkuu,... ulivyo mfupi utakuwa kama unaendesha baiskeli
 
Nimependa yale magorofa yanaonekana kwa mbaliii hadi raha teh teh teh
 
ingekuwa vizuri ungemgeuza tuona na sura yake inafananaje
 
Kuna mtu ni avatar yake hiyo atakuja tu usijali anajiita big nini eater
 
Voxwagen engine nyuma hiyo ulaji wake wa mafuta sio kidumu cha lita tano. Kuoa demu Kama huyo yatakiwa pesa iwepo vinginevyo wenyenazo watakugongea saana.
 
Brother Sadiq lete kahawa mkuu kazingua
 
Hilo likiinama lazima upepo wa moto utoke fuuuuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…