newbiee01 Senior Member Joined Jul 21, 2018 Posts 100 Reaction score 23 Aug 3, 2019 #1 Habari wana jm ntaka nifahamu kwa mtu aliye chaguliwa chuo moja kwa moja kutoka form4 je anaweza kuomba mkopo heslb asante
Habari wana jm ntaka nifahamu kwa mtu aliye chaguliwa chuo moja kwa moja kutoka form4 je anaweza kuomba mkopo heslb asante
MKUYENGE JF-Expert Member Joined Jun 26, 2019 Posts 4,106 Reaction score 4,618 Aug 3, 2019 #2 newbiee01 said: Habari wana jm ntaka nifahamu kwa mtu aliye chaguliwa chuo moja kwa moja kutoka form4 je anaweza kuomba mkopo heslb asante Click to expand... kwani.umechaguliwa kwenda kusoma Degree au?
newbiee01 said: Habari wana jm ntaka nifahamu kwa mtu aliye chaguliwa chuo moja kwa moja kutoka form4 je anaweza kuomba mkopo heslb asante Click to expand... kwani.umechaguliwa kwenda kusoma Degree au?
Krn Member Joined Jun 28, 2019 Posts 21 Reaction score 5 Aug 3, 2019 #3 Jibu ni rahis hiyo haipo kwa tanzania
At Calvary JF-Expert Member Joined Aug 22, 2018 Posts 4,557 Reaction score 3,628 Aug 4, 2019 #4 Hapana Ila nasikia kuna ka amount wanawalipia
M MZEE RAZA JF-Expert Member Joined Feb 19, 2015 Posts 3,489 Reaction score 2,488 Aug 7, 2019 #5 At Calvary said: Hapana Ila nasikia kuna ka amount wanawalipia Click to expand... Umesikia habari za uongo!
At Calvary said: Hapana Ila nasikia kuna ka amount wanawalipia Click to expand... Umesikia habari za uongo!
At Calvary JF-Expert Member Joined Aug 22, 2018 Posts 4,557 Reaction score 3,628 Aug 7, 2019 #6 MZEE RAZA said: Umesikia habari za uongo! Click to expand... Sina hakika