Habari wana jm ntaka nifahamu kwa mtu aliye chaguliwa chuo moja kwa moja kutoka form4 je anaweza kuomba mkopo heslb asante


kwani.umechaguliwa kwenda kusoma Degree au?Umesikia habari za uongo!Hapana Ila nasikia kuna ka amount wanawalipia
Sina hakikaUmesikia habari za uongo!