Yeah pia kama mnapendana n mimba hakutoa yeye sioni tatizo....thnx 4 th advice...they say time will tell!!!huh??
mh..sa kama ananidanganya jambo kubwa hivi, na sikwamba sikumpenda kabla..actually am the one who declared the INTEREST TO be with her so sidhani kama kulikuwa na haja ya kudanganya! au??!mimi nahisi kama ana uwongo fulani.ila maybe kwa kuwa anakupenda,anaona bora atie chumvi kidogo.jipe muda kuwa nae,na kama ana uwongo mwengine,utaujua tu.katika mapenzi,uwongo mdogo mdogo pia upo,ila usizidi tu
hapooo ndo penye tatizo....the fact that i love her is what complicates the matter. nlishamuuliza abt cheti cha hospital kuuhusu mimba or the abortion for that matter bt wakati huo alikuwa amekuja kuntembelea so akasema ameviacha home.Hiyo ishu ni ndogo
muulize alienda hospitali?
hospitali gani?
amesafishwa vizuri?
ikibidi ongea na dokta unaemuamini uende nae amtazame...
na kuhusu majambazi.je kuna rb ya kuripoti polisi?
halafu je unampenda?
sina mke ndugu, at first wakati tunafahamiana up until th incident, i had high hopes of making her my wife..kwasasa i have doubts, ndo maana!Hujasema km utamuoa au huna mke
Huyo anakupima huenda story ni kutaka mtoto mpeleke kwa Dr akasafishwe