man of the year
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 422
- 205
Dar kugumu axee life tight wacha nirud home huku utumwan habari za chuo ziishie hapa.
dar kugumu axee life tight wacha nirud home huku utumwan habari za chuo ziishie hapa.
Dar kugumu axee life tight wacha nirud home huku utumwan habari za chuo ziishie hapa.
Jamani wewe binti loh!!!Kwani kwenu wapi.......?......mbona kama umechelewa sana kuondoka........?......
Kwani kwenu wapi.......?......mbona kama umechelewa sana kuondoka........?......
kitu gan mkuu?Natoa angalizo enyi 1st year msijaribu hii kitu!!
vyuo vikifunguliwa mkinunuliwa viroba mnaanza maandamano eti tangu uhuru hakuna kilichofanyika kumbe ukimcheki hata chupi alilovaa hapo ni pesa ya mkopo wa chuo aliopewa na serikal
rudi home asee boom likitoka urudi lisipotoka sio mbaya next year si mbali