Aliniudhi sana alipotaka nimpe pattern ya kufungulia simu tukiwa katikati ya gemu

Kama wiki mbili zilizopita nikiwa chumbani na mpenzi wangu ambae hatuna muda mrefu kwenye mahusiano tulikwazana kwasababu yeye ndo chanzo cha kukwazana kwetu.

Mzee mzima nipo juu ya kifua chake napiga zile in and out na mzuka umenikolea kweli kweli mara naona anabana miguu ananambia nimuonyeshe pattern za simu yangu ambayo alikua ameishikilia mkononi mwake kitu ambacho kilinikera kupita kiasi mana ni bora angeniambia nimuonyeshe hizo pattern za kufungulia simu kabla hata game haijaanza.

Nikimwambia lete nikufungulie hiyo simu hataki yani anachotaka nimuonyeshe jinsi ninavyochora zile pattern.Kiukweli alinikera sana mana hata mimi sina kawaida ya kukagua simu yake ambavyo yeye anataka kufanya kwenye simu yangu.

Hivi ninavyoongea nishampiga chini and there is no turning back to me once nikiamua kumuacha msichana.

Kwani tshs ngapi?
Haaaa haaaaa! Kwahiyo endelea kula ukimaliza funikia hukuona kama ni matusi na dharau kubwa ila kuombwa nywila? Daaah!
Anyway,wanawake hupenda kuomba vitu au kupewa promises na wanaume wawapo katikati ya shughuli maana wanajua wanaume muda huo akili huwa zinakua sio za kawaida kabisa,wanaweza kuahidi ama kutoa chochote cha gharama yoyote kulingana na kiwango cha kupagawa kilichokuwepo ktk tendo
 
Watu wana vituko. Huyo dada ulimuokota wapi?
Alimtoa humu JF,yaani huyo alifuata ule usemi wa kwamba mwanaume akiwa anapiga mashine ukimwambia kitu chochote akubali.....huyo demu bwege sana!!
 
Aaaaah umu kila mtu atatumia udhaifu kwa kujifahalisha yeye aonekane shababi lkn nje ya hapo ni kijisifia tu shababi ana maneno mengi,niludi ktk hoja ya msingi ndugu yangu ungemuonyesha tu patten uku ukiendelea kupiga paip ukimaliza unaweka patten ingine shughuri imeishaa
 
Mnabeba na wehu bila kujijua
Hivi utasema mzima huyo
Sio kwamba hana feeling hapana ni mwehuuuu ila hujamshtukia tu
 
Huo muda wa kukagua simu wakati anapigwa rungu anaupata wapi? Mwanamke gogo kitandani piga chini mkuu.
Umenikumbusha mbali mwaka 2014 nilikutana na binti mmoja mzuri wa sura, nikamtongoza akanikubalia, kaja gheto mtoto wa Kichaga. Mara Paaaaap gem limeanza mtu katulia tuu, miguno kwa mbali kama ya kulazimisha. Mara paaap simu yake ikaita, akanyoosha mkono akaichukua, eti mama yake kampigia akaanza kuongea na simu huku ameniachia papuchi napiga mzigo yeye katulia tuliii hata hakuna miguno. Wanaongea mambo ya mashamba, biashara, kuku. Nilijikuta hata stimu inakata. Hakurudi kwangu aisee.
 
Huo muda wa kukagua simu wakati anapigwa rungu anaupata wapi? Mwanamke gogo kitandani piga chini mkuu.
Umenikumbusha mbali mwaka 2014 nilikutana na binti mmoja mzuri wa sura, nikamtongoza akanikubalia, kaja gheto mtoto wa Kichaga. Mara Paaaaap gem limeanza mtu katulia tuu, miguno kwa mbali kama ya kulazimisha. Mara paaap simu yake ikaita, akanyoosha mkono akaichukua, eti mama yake kampigia akaanza kuongea na simu huku ameniachia papuchi napiga mzigo yeye katulia tuliii hata hakuna miguno. Wanaongea mambo ya mashamba, biashara, kuku. Nilijikuta hata stimu inakata. Hakurudi kwangu aisee.
Watoto wa kichaga wazitooo sanaaaa kitandani
 
weraaaaaaaaaaaaaaaaaa asante sana kijana, KAMA ULIKUWA KICHWANI mwangu kwa hayo mawazo. kuna siku ilinitokea na mimi demu aliniomba pesa katikati ya game. niko juu nachimba madini nashanga anazengua mara hataki kisa anamawazo eti ana shida na pesa kama elfu 40 na ni leo, mamake hatari nilicho kifanya nikaa mka nikaoga nika vaa nikasepa nje akaja nika mdanganya nitakutumia kwa m-pesa hadi anafika kwao hajaona kitu siku amaerudi getto kakuta yuko mmoja zzaidi yake kisu balaa halafu kwa sifa nika mkiss demu mbele yake kila akijaribu kupiga story na mimi na msikiliza sekunde demu ananipa mapozi mixer ma hag hadi akasepa nahisi alijifunza
 
Mzee yani unamkaza mtu anachezea simu?!
Ina maana mzee mzima alikuwa kama hafanyi chochote, kutikisika, mwali kusikia kitu kinagonga na patashika zote, kweli mzee alifeli kwa hili, maana wengine "man at work" inakuwa ni shughuli, anatakiwa asahau kila kitu na kusikilizia mziki tu..
 
Back
Top Bottom