ndakushima
JF-Expert Member
- Jul 27, 2015
- 220
- 125
Wewe ni he au she?
shemale!!
Ungeamua moja kusuka ama kunyoa,huwezi kuwa na maamuzi tofauti labda ulikuwa na tamaa za kingono wakati unakubali kurudiana nae,huwezi kujilazimisha kumuamini mtu na mtu anayetoa msamaha basi huacha mawazo potofu,hakuna malaika duniani lakini huwezi kufanya uamuzi ambao huna uhakika nao.[/QU
jina la baba angu joseph haya nashukur kwa ushaur wako nimekupata
asante saana wangu kwa ushaur wakoUkiendelea na hali hiyo atakusaliti tena maana hakuna kitakachoendelea hapo ndani, jenga imani juu yake, ongeza mapenzi kwake na dumisha ushirikiano, mawazo potofu yanapelekeaga uharibifu
shemale!!
Ungeamua moja kusuka ama kunyoa,huwezi kuwa na maamuzi tofauti labda ulikuwa na tamaa za kingono wakati unakubali kurudiana nae,huwezi kujilazimisha kumuamini mtu na mtu anayetoa msamaha basi huacha mawazo potofu,hakuna malaika duniani lakini huwezi kufanya uamuzi ambao huna uhakika nao.
ook many thankx to you alote funzadume nimekuelewaKama umesamehe basi samehe mazima na with time utakaa sawa, hiyo hali unayokutana nayo ni ya kibinadamu tu maana mahusiano ni kama kioo siku ukisalitiwa kinakuwa kama kimepata ufa so hakitakuwa kama mara ya kwanza lakini ukikizoea maisha yanaendelea
Mpenzi wangu alinisaliti nikagundua nikaamua kumuacha na nikaachana nae kwa mda wa miezi mitatu.
Baadaa ya hiyo miezi akarudi kuniomba msamaha kwamba tuludinane alitaleza ndo maana aliyafanya hayo.
Kwahiyo hataki kunipoteza na anajutia kosa hilo kosa na ananipenda ndioo maana karudi kuniomba msamaha.
Mimi kwakuwa nilikuwa nampenda nikamsamehe but with conditions sasa basi tangu nimeamua kuwa nae kwa mara ya pili tena kila anaponiambia kitu nakuwa simuamini hivi nahis ni yale yale.
Maana kama nilimuheshimu na nilimthamini kama mpenzi wangu akanicheat atashindwaje kufanya tena but all in alinihakikishia kwamba kabadilika sio yule wa zamani akiwa now anamiaka 31 na mim 25.
Hivyo basi wana jukwaa la mapenzi naombeni mawazo yenu kwa hili nfanyaje ili nisahau kwamaana kila nkikumbuka am not feeling good.
Unatakiwa kusamehe na kusahau.