mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,440
- 2,967
Akishakujibu tutaendelea kumshaur!!.kwan kakuambia anakutaka!??...
mi pia namckilizia leader.Akishakujibu tutaendelea kumshaur!!.
Ngoja tumsikilizemi pia namckilizia leader.
Stori yako inafanana sana na yangu kidogo ila huyu wangu hakuwa fisi. huyu dada alinipenda nami nilimpenda ila yeye alikuwa na presha ya 'kuanza' maisha. Alilazimisha tuzae na kuanza laifu mapema nilipomwambia asubiri kidogo, mawasiliano yalianza fifia na tukapoteana kidogo. Ghafla nakuta friend request facebook baada ya kama miaka 2.5. Kucheki ni yeye kaweka picha ya katoto kachanga. Niliumia sana ila nikapiga moyo konde. Sasa hivi kwa kweli anasumbuana sana na mzazi mwenzake. Nimekuwa mfariji wake na akikumbuka siku za zamani analia sana.Bwana we
Leo nimekumbukwa na demu wa kitaaambo ambaye alinikataaga na kuolewa na mwanaume mwengine.
Eti amenimis, ananikumbuka, amenimis, ha ha haaaa baada ya maisha kuwa magumu.
Je nimfanyeje FISI Kama huyu ambaye anataka kurudiana nami baada ya kupigika???
Asee mbona Kama nakufahamu kiongozi??? Au nimefananisha?Stori yako inafanana sana na yangu kidogo ila huyu wangu hakuwa fisi. huyu dada alinipenda nami nilimpenda ila yeye alikuwa na presha ya 'kuanza' maisha. Alilazimisha tuzae na kuanza laifu mapema nilipomwambia asubiri kidogo, mawasiliano yalianza fifia na tukapoteana kidogo. Ghafla nakuta friend request facebook baada ya kama miaka 2.5. Kucheki ni yeye kaweka picha ya katoto kachanga. Niliumia sana ila nikapiga moyo konde. Sasa hivi kwa kweli anasumbuana sana na mzazi mwenzake. Nimekuwa mfariji wake na akikumbuka siku za zamani analia sana.
Bado nampenda sana, ktk wanawake nimeshindwa wadelete kwenye harddrive kichwani mwangu ni huyu. Ilifika wakati nikiona mwanamke anayefanana nae naanza kuvutika nae.
Ila maisha lazima yasonge. Maisha ni kuchagua.
Hapana . Now nadekezwaKwani wewe haujammiss?
Ndio ananitakakwan kakuambia anakutaka!??...
Naomba uje dmKwani wewe haujammiss?
Mwenzio kaolewa wewe bado tu hujaoa?Bwana we
Leo nimekumbukwa na demu wa kitaaambo ambaye alinikataaga na kuolewa na mwanaume mwengine.
Eti amenimis, ananikumbuka, amenimis, ha ha haaaa baada ya maisha kuwa magumu.
Je nimfanyeje FISI Kama huyu ambaye anataka kurudiana nami baada ya kupigika???