kwetumasoko
JF-Expert Member
- Aug 24, 2016
- 866
- 517
Ni kweli mkuu, ila sijapata muda wa kuongea nae.is she trying you? tell her you are not tried
Kwa sasa sipo tayari mkuukwan bado unampenda? if yes go for her kama no piga usepe umalize hasira zako za kukataliwa kipind kile ila ukichunwa tulia.
Go for plan bKwa sasa sipo tayari mkuu
Sasa mimi sielewi kilichomkuta huku wakati alisema anampenda na ndiye wakeKama roho yako ipo kwake na uko single why not,huenda ndio wakati wako sasa wakufanya maamuzi..
Sauti inaniambia nikimbie speed 150 kwa saaSikiliza sauti ya ndani yako inakwambia nn maana hiyo ndiyo kweli yenyewe.
Ha ha ha haAngalia kwanza kama huko alikotoka hawajatengua urithi (0713)...
Never test the depth of a river by both feet
Jamani si mulize kulikoni kama unataka kujua,au kwani mtu akisema nakupenda ndio mkimalizana hamtafuti ustarabu mwengine? sikia unaweza kutolewa Mahari na usiolewe sasa sioni ajabu kwa huyo walikua wanatoana Stress...Sasa mimi sielewi kilichomkuta huku wakati alisema anampenda na ndiye wake
Nafasi siwezi mpa, najua huyo atakuwa ndumilakuwili,mpe nafasi.