Oya nilishamuachaKila utembeapo tembea na mafuta, maana soon utaukalia..."mke wa mtu sumu".
Kuolewa tena mkuu vipi hii man mimi mwanaumeSiku ukiolewa useme pia
Hahahahahaha.Kila utembeapo tembea na mafuta, maana soon utaukalia..."mke wa mtu sumu".
Na Mwamba yumo Humu jfUnajisifia?
Na siku ya kukamatwa na kugongwa kipumpkin chako ulete mrejesho hapa tunasubiri..!!
Taarifa imefika mh raisi, wacha niutafute file lake hapa nilichome moto😂😂
Niko napambana kuifuta hii nuksi ya u-jobless nimechoka kushindia ugali mkavu
Sawa sawa 😁Taarifa imefika mh raisi, wacha niutafute file lake hapa nilichome moto😂😂
U jobless sio nuksi kijana, halafu kwanini ule ugali mkavu?. Si unywee hata na chai?Niko napambana kuifuta hii nuksi ya u-jobless nimechoka kushindia ugali mkavu