Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,372 Oct 16, 2020 #1 Hii picha imepigwa kwenye kampeni ya Lissu . Jamaa ana maana gani ?
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,796 Reaction score 82,282 Oct 16, 2020 #2 Lissu kata mapembe ya hawa mafisadi wanaojiona miungu watu.
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,672 Reaction score 133,464 Oct 16, 2020 #3 Anamaanisha Lissu ni mshika mapembe
S Step one Member Joined Sep 25, 2020 Posts 83 Reaction score 125 Oct 16, 2020 #4 Kuna watu wametuotea mapembe
Fall Army Worm JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 19,370 Reaction score 14,522 Oct 16, 2020 #5 Ungemuuliza yeye mwenyewe
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 16,578 Reaction score 42,980 Oct 17, 2020 #6 Lissu is a bull
mpatto JF-Expert Member Joined Apr 28, 2017 Posts 766 Reaction score 1,038 Oct 17, 2020 #7 Viol said: Hii picha imepigwa kwenye kampeni ya Lissu . Jamaa ana maana gani ?View attachment 1602057 Click to expand... Hii picha pia ilipostiwa na mke wa Lissu kule twitter. Mke wa Lissu aliandika kwamba, jamaa huyu alisema Lissu akishinda uchaguzi mifugo yake itakuwa salama!
Viol said: Hii picha imepigwa kwenye kampeni ya Lissu . Jamaa ana maana gani ?View attachment 1602057 Click to expand... Hii picha pia ilipostiwa na mke wa Lissu kule twitter. Mke wa Lissu aliandika kwamba, jamaa huyu alisema Lissu akishinda uchaguzi mifugo yake itakuwa salama!