Kwaiyo na yeye wakaamua kumfyekelea mbaliiHivi ukae ukijua huu ujumbe uliousoma hapa ni kwa wale viwembe wote wanaofeka wake wawatu.
Ninavyoona ushaidi sina .Kwaiyo na yeye wakaamua kumfyekelea mbalii
Hahahahaaa.. utakuja kuniua wallah
Vp umeolewa na mimi ndo ugonjwa wanguHivi ukae ukijua huu ujumbe uliousoma hapa ni kwa wale viwembe wote wanaofeka wake wawatu.
Nimeolewa na msongo wa mawzo na watoto tisaVp umeolewa na mimi ndo ugonjwa wangu
[emoji23][emoji23]Usife kabla hujanipa
[emoji23][emoji23]
UmeanzaMke wa rais
Umeanza
Rudi shule ukapate elimu.Mwanaume alipendwa na wengi naalikuwa anatesa wanawake .
Muda mwingi ni starehe na wake zawatu naalikuwa ananunuliwa vitu na wamama wawatu kila mahali anamke wake amezalisha wengi.
Kazi mara nyingi inamsumbua kisa hayupo makini kwa wanawake za watu.
Ila fahari yake wadada tu na wake za watu ila mwisho mmbaya siku moja alikuwa natembea barabarani ameshachuja naalikuwa kalewa hakuona gari lilikuwa linakimbia kwa kasi akapita.
Likamgonga ndio mwisho wake .
Je hii inatufundisha nini katikaaisha haya kila kitu unachotesea watu itafikia mwisho wake tu.
Nahabari yako itakuwa zilipendwa.
Have a great time
Mwanaume alipendwa na wengi naalikuwa anatesa wanawake .
Muda mwingi ni starehe na wake zawatu naalikuwa ananunuliwa vitu na wamama wawatu kila mahali anamke wake amezalisha wengi.
Kazi mara nyingi inamsumbua kisa hayupo makini kwa wanawake za watu.
Ila fahari yake wadada tu na wake za watu ila mwisho mmbaya siku moja alikuwa natembea barabarani ameshachuja naalikuwa kalewa hakuona gari lilikuwa linakimbia kwa kasi akapita.
Likamgonga ndio mwisho wake .
Je hii inatufundisha nini katikaaisha haya kila kitu unachotesea watu itafikia mwisho wake tu.
Nahabari yako itakuwa zilipendwa.
Have a great time[/QUOT
Hajagongwa na gari umedanganywa...
Naomba unilipie ada mi nitarudiRudi shule ukapate elimu.