Alikuwa handsome ila

Umeandika huku unaendesha bodaboda nini?
 
Hivi ukae ukijua huu ujumbe uliousoma hapa ni kwa wale viwembe wote wanaofeka wake wawatu.
 
Akili za kichawi hizi
 
Inatufundisha tumia wakati wako vizuri. Kifo ni haki yako, ki karibu.

Hakika katangulia ila amekula papuchi nyingi sana. Ameacha mbegu za kutosha.

He is a LEGEND. RIP.
We mzee wa fursa jamani za kupotea
 
We mzee wa fursa jamani za kupotea
Ayaaaa!. Mama, siku hizi umejikita sana na vijana. Nikasema hizi ligi siwezi, ngoja nione ngoma itapasukia wapi.

Nilipotea sana. Ila sasa naona njia ya kurudi. Upo mama wa Fursa!?
 
Ayaaaa!. Mama, siku hizi umejikita sana na vijana. Nikasema hizi ligi siwezi, ngoja nione ngoma itapasukia wapi.

Nilipotea sana. Ila sasa naona njia ya kurudi. Upo mama wa Fursa!?
Hahahhaa na vijana siwawezi acha niwe na wazee wenzangu umekuwa adimu aliyekuteka akuachie jamani
 
Hahahhaa na vijana siwawezi acha niwe na wazee wenzangu umekuwa adimu aliyekuteka akuachie jamani
Kumbe ndiye ulikuwa unaniombea? Wameniachia kwa jina la Yesu, washenzi wale.

Nakuona uzee wako wautumia vizuri. Barikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…