katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,761
Nakaziakwahiyo kugongwa na gari ndo Malipo Au?
Nawaambiaga Hawa kuna mambo si lazima kufungulia uzi..Inatufundisha sio lazima kufungua uzi haswa tukiwa hatuna la maana la kusema
Dua la kuku...Mwanaume alipendwa na wengi naalikuwa anatesa wanawake .
Muda mwingi ni starehe na wake zawatu naalikuwa ananunuliwa vitu na wamama wawatu kila mahali anamke wake amezalisha wengi.
Kazi mara nyingi inamsumbua kisa hayupo makini kwa wanawake za watu.
Ila fahari yake wadada tu na wake za watu ila mwisho mmbaya siku moja alikuwa natembea barabarani ameshachuja naalikuwa kalewa hakuona gari lilikuwa linakimbia kwa kasi akapita.
Likamgonga ndio mwisho wake .
Je hii inatufundisha nini katikaaisha haya kila kitu unachotesea watu itafikia mwisho wake tu.
Nahabari yako itakuwa zilipendwa.
Have a great time
nikajua peke yangu, ngoja nisome tenaNimesoma huu uzi mara 4 sijaelewa alicho kuwa anamaanisha
Aisee!
Mwanaume alipendwa na wengi naalikuwa anatesa wanawake .
Muda mwingi ni starehe na wake zawatu naalikuwa ananunuliwa vitu na wamama wawatu kila mahali anamke wake amezalisha wengi.
Kazi mara nyingi inamsumbua kisa hayupo makini kwa wanawake za watu.
Ila fahari yake wadada tu na wake za watu ila mwisho mmbaya siku moja alikuwa natembea barabarani ameshachuja naalikuwa kalewa hakuona gari lilikuwa linakimbia kwa kasi akapita.
Likamgonga ndio mwisho wake .
Je hii inatufundisha nini katikaaisha haya kila kitu unachotesea watu itafikia mwisho wake tu.
Nahabari yako itakuwa zilipendwa.
Have a great time
Zimwi likujualonikajua peke yangu, ngoja nisome tena