Daa huyu mama nampendaga na Msuko wake wa sh. 800/= tuu
'NANI KAMA MAMA?'
Mbavu zangu jamani, hahahaahaha'NANI KAMA MAMA?'
AIsee na PhD yooote alikosa SLOGAN
Achana na Mnyika wewe.'NANI KAMA MAMA?'
AIsee na PhD yooote alikosa SLOGAN
Hahahahahaahaha mkuu wewee kweli unautani na jk.Sijui Jk alimuokota wapi Huyu Mama. Mkwere kwa kuzoa Zoa kina Mama hajambo!
Ndani ya CCM hakuwa Mbobezi ndio sababu kapotea mazima
UmeniwahiAmeolewa?
Nilikuwa simjui. Huku Mbezi kuna siku nikakuta mkusanyiko wa watu jau, kusogea karibu! Kumbe mama anagawa REFLECTORS kwa waendesha Boda boda kabla ya upigaji kura mwaka juzi! Reflectors ziliandikwa NANI KAMA MAMA!Daa huyu mama nampendaga na Msuko wake wa sh. 800/= tuu