Huyo ni aina ya sijui nimuite mbuzi au swala wa ktk majabali/ mawe. Nimewahi ona documentary moja ya wanyama, hawa ndugu ni wataalamu wa kupita kwenye hayo majabali, tena kwa spidi ya hali ya juu sehemu ambayo binadamu hapiti. Hapo ni mbuzi/ swala anayeshangaa na kujiuliza amsaidie vipi huyo mwana wa Adam.