Mbuzi alifika na kamba???? Miwani umetupa wapi??
Alifika na kamba hio huioni
Kwani avata ikoje jama
Ina picha ya mwanaume, najua manka kama ni mchagga huwa ni she:sly:
Jiangalie wewe eye impairment au???
π eye impairment....mh haya dada
Nimekosa jibu ngoja nikupe mjin utafiti nenda kuleeee kwa kina..
Kina...kinaa....mbona nasahau aargh