James Lordy Kashirina
New Member
- Jun 17, 2022
- 4
- 16
Kwa mujibu wa wikipedia Black eyed Children (Or Black-eyed kids) are a contemporary legend of supposed paranormal creatures that resemble children between the ages of 6 and 16, (1) with pale skinnand black eyes, who are reportedly seen hitchhiking or panhandling[citation beeded], or are encountered on doorsteps of residential homes.
Kwamba ni hadithi ya kisasa ya wanaodhaniwa viumbe ambao si wa kawaida wanaofanana na watoto wa Umri wa miaka 6 na 16 wakiwa na ngozi nyeupe na macho meusi ambao wameripotiwa kuonekana wakidandia kwenye magari au wakitondora mitaani au wakitokea kwenye ngazi za nyumba za watu.
Hii inaendelea kwwnye maeneo ya vijijini pembeni ya miji mikubwa hata ulaya pia wanawake hao weupe wanatekwa na Greys, ambapo Greys hao wanawapandikizia mbegu kwa njia bandia (Artificial Insiminating) na wanawake hao wanapo zaa watoto huzaa viumbe ambao ni nusu Grey na nusu mwanadamu (Gry-humanoid) wakiwa hawana nywele nyingi, macho makubwa na mboni kubwa sana nyeusu. Wakati hili likitokea Serikali kupitia CIA na Taasisi za juu za siri wanawachukua watoto hao mbali na wazazi wao na hawaonekani tena milele.
Hatahivyo japo ni ngumu kuthibitisha, inaelezwa kwamba, utekaji huo wa Greys hautokei mara kwa mara kwa watu weusi wenye Melanin nyingi.Kwahiyo hilo linatueleza kwamba watu ambao wana AURA thabiti asilia hawawezi kutekwa kirahisi na nishati yao haiwezi kunyonywa kirahisi na hao Parasaiti, ndipo Greys hushughulika na kuchanganya DNA yao na DNA ya Caucasoid (Wazungu) kwasababu DNA ya caucasoid ni rahisi zaidi kubadilishwa kuliko DNA ya watu weusi wa Afrika.
Ndio maana kuna mipango mingi ya serikali na taasisi za serikali inayosababisha watu weusi kuuana wenyewe kwa wenyewe ili greys wachanganye DNA yao na Caucasoid na kuwafanya wazoee kuishi katika sura hii ya Dunia. Lengo lao ni kutengeneza jamii ya viumbe mseto ambao wataweza kuishi juu ya uso wa dunia na kupokea amri kutoka uongozi wa juu uliopo chini ya ardhi kama ambavyo imekua kwa mamia na maelfu ya miaka.
Ni kitu kilekile kinachofanywa na Reptilia ambao lengo lao ni kuua watoto wa Isis, Ra, na El ambao ni watu weusi wanaoitwa pia Children of the sun, yaani watoto wa jua.
Watoto wa jua kwasababu jua linaamsha (Activate) melanin za watu weusi. Kwamba Jua linaamsha/Linawezesha nishati yetu ya nje ya galaksi ambayo ni kuwezeshwa kwa mwili (Merkaba Activation). Kuwezeshwa huko kwa mwili ni hali ya mwili kubadilika kwenda katika Ulimwengu mwingine wa juu (Higher dimension), kitu ambacho kitapelekea mwili huo kupita kwenye lango nyota (Stargate) kwenda kwenye Ulimwengu wa 5 (5th Dimension)
STARGATE/π¦π§ππ₯πππ§π Ni
(Lango nyota (Stargate) la kupitisha nafsi kwenda kwenye ulimwengu wa Tano).
Unaweza kujiuliza ni wapi maarifa haya yanatoka, Lakini Ukweli ni kwamba, elimu zote hizi za ulimwengu wa juu tumeachiwa na watangulizi wetu kwenye lugha za kale za michoro (Hyreoglyphic),:kwenye mapango na kwenye makaburi ya watangulizi wetu. Leo hii unaweza kuons lugha michoro za Reptilia aina ya Greys. Uwepo wa michoro hiyo ni uthibitisho tosha kwamba watangulizi wetu ambao pia walituachia mapiramidi kama ishaa ya uwepo wao duniani, pia walikutana na viumbe hao na walijua mengi kuhusu wao na kwamba walikua na vita na viumbe hao. Katika kipindi cha mwaka 2016 hadi 2022 kumekua kukionekana vimulimuli vingi kwenye anga ikiwa ni ishara ya harakati za viumbe hao na pia kumekuwa na utekwaji zaidi wa alien, aidha kuongezeka kwa muingiliano wa muundo wa miduara ya kimaajabu kwenye maeneo ya wazzi (crop circles) na pia kuongezeka kwa majanga mengi zaidi na hali ambayo si ya kawaida kabisa kwenye sayari hii kwasababu wakati nishati ya ulimwengu wa tano inapofungwa kwenye dunia hii kila baada ya miaka 26,000, hua inasababisha vitu vingi kukosa uwiano (balance).
Miaka 26,000 iliyopita watu wengi walikua hawaelewi kwamba ngota ya kaskazini ya dunia (North star polaris) haikua nyota ya kaskazini (north star polaris) unajua ni kwanini? sababu kubwa ni kwamba ni kwamba , miaka 26,000 iliyopita kulitokea mabadiliko makubwa ya ncha za dunia, yaani Pole Shift ambayo inatajwa kama moja ya sababu iliyosababisha gharika kuu na kusababisha kusini kua kaskazini na kinyume chake na nyota ya kaskazini ikawa polaris yaani nyota ing'aayo iliyopo karibu na ncha ya kaskazini (North pole) ya mbinguni, kwenye kundi nyota Ursa mknor (Costellation Ursa minor).
(Picha za Miundo ya kimaajabu kwenye maeneo ya wazi /Crop circles inayohusishwa na Aliens nitaweka Instagram).
Tukirudi tena kwenye somo letu juu ya aliens, inaellezwa kwamba wapo pia Greys wema na Reptilia wema ambao ni Nommos wanao itwa pia Miungu nommos (Nommos Gods) Pamoja na Anunnaki na wote wanapigania nafsi zetu zifike kwenye malango nyota (Stargates). Habari hii ya malango nyota na kupaa kwa nafsi kwenda kwenye ulimwengu wa Tano, utaipata kwa kina kwenye mfululizo wa Nakala hizi. Wakati viumbe hao wema wakiwasaidia wanadamu, Reptilia na Greys wabaya wao wanaziba Starfate chini ya Jua ili nafsi za wanadamu wema zisiweze kupita na kwenda kwenye ulimwengu wa juu zaidi.
Inaelezwa kwamba kuna vita inaendelea kati ya makundi tofauti ya viumbe hao kutoka sayari za nje ya Dunia (Extraterrestrials). Kitu hicho kinaendelea nje ya sayari ya zohari (Saturn), Ambapo ANUNNAKI na DRACONIANS na GREYS wanaenda vitani kwenye miezi ya Sayari ya Saturn (MOONS OF SATURN). Kwa mujibu wa wikipedia sayari ya Saturn ina Takribani miezi sitini (60 moons) huku Titan ukiwa mwezi mkubwa kuzidi mercury na Pluto.
(MAJOR MOOS OF SATURN PHOTO ON INSTAGRAM).
Watu wengi hawaelewi kwanini sayari ya Dunia ilikua muhimu mno kwa viumbe hivi. Ipo hivi, inaelezwa kwamba, dunia ni matokeo ya uharibifu wa Tiamat na Viadek. Kutokana na uharibifu huo ndipo tukapata maziwa ya chumvi, maji safi, mito ya maji chumvi, mito ya maji safi, na pia bahari chumvi.Tumepata mchanganyiko huo wa vyanzo vya maji safi na ya chumvi, ikiwa ni matokeo ya sayari mbili tofauti ambazo zimeunganishwa na kua moja ndio maana maisha ya mimea na wanyama yapo tofauti mno, ndio maana sayari ya dunia ina rasilimali nyingi zaidi kama Dhahabu(Gold),:Fedha (Silver),:Titanium, Uranium, Zinc, Carbon, Copper na kadharika. Dhahabu ni Rasilimali muhimuvsana kwa viumbe hao kutoka nje ya dunia, ndio maana kwa mujibu wa maandiko ya kale ya Sumeria, ANUNNAKI walikuja duniani kuchimba dhahabu. Dhahabu inaelezwa kuwa na uwezo mkubwa wa kusharabu nishati ya Joto kwenye galaksi hii, ndio maana vifaa vingi vya metali vya usafiri wa angani vinavyo tumiwa na Greys, na Reptilia, yaani UFOs vinapakwa dhahabu kwasababu inasharabu mwanga wa nyota.
TO BE CONTINUED