Mtaka na dialo wanawaomba msamaha masisiemu yasiyokua na uwezo wa kufikiriUpuuzi mtupu Diallo na Mtaka wamekosea wapi? shida ipo kwa Kasesela
Ipo YouTube. Andika Antony Diallo, Kisha search yatakuja mengiNauliza tu; hivi ile interview ya Anthony Dialo pale Start TV ipo youtube? Nataka nikaisikilize yote
ThanksIpo YouTube. Andika Antony Diallo, Kisha search yatakuja mengi
Nenda snaptube IPONauliza tu; hivi ile interview ya Anthony Dialo pale Start TV ipo youtube? Nataka nikaisikilize yote
Uko sawa kabisa mkuu,sikutarajia Kama Mtaka atafanya hayoAnthony Diallo na Anthony Mtaka wanaweza kuwa ni viongozi wachapakazi lakini siyo viongozi intelligents!
Hawajui wazungumze nini, wapi na wakati gani! Mtu intelligent anajua kwamba si kila jambo au ukweli fulani lazima usemwe hadharani!
Akili ambazo viongozi hawa wameonyesha ni za ki CHADEMA CHADEMA! Kauli zao hazina sense ya collective responsibility ndani yake!
Anthony Mtaka akiendelea na kutafuta cheap popularity ata sustain kwa muda mfupi sana! Diallo yeye mwisho wake tumeshauona!