RUTAJUMBUKIRWA
Senior Member
- May 3, 2009
- 185
- 89
kama watusi mlivyo na laana ya mauji wakongo na wahutu wasio na hatia.
... a slim 62-kg man, with a pointed nose .. he was always mistaken for a Tutsi .... ... all the time he felt betrayed by his appearance.
We mufirisi, kila anaesema mambo positive kuhusu watusi naye ni Mtusi. we mbona unawatetea wahutu we ni Mhutu? sema we ni hutu? Au wacongo. we unajichubua ni Mcongo? sema, inawezekana we ni pandikizi la kigeni
Alikua anatetemeka kujibu maswali kwani hakua na nia ya kutoa majibu sahihi.
picha?
ukiona moshi,jua kuna moto!
Sio siri, mi nakerwa na watu wanaokazania kuongelea makabila ya watu! Hivi nani wa kumkosoa muumba? Wote njia yetu ni moja! hapa tunashabikia ugomvi na wanyarwanda sijui kumfurahisha nani? tuwasamehe ili kulinda amani na umoja wa africa! Huu si muda wa kukazana kumimina petrol ktk migogoro ila kuiepuka na kulinda utu wetu.
Ukitukana, jitafakari kwa imani yako!
Sent from my blackberry 9220 using jamiiforums
ahahahaaaaaaaaaa...wee jamaaaa ni jiniasi kinoma...ngoja nicheke tena niongeze cd4..ahahahaaaaaaaaaaaaa ahahahaaaaa... Jf raha sana.
Madaktari tafadhali muwe munatu-andikia dozi ya kuhudhuria jf kutwa mara 3 tuweze kucheka na kuongeza cd4 ili tuishi maisha marefu...hasa sie wagonjwa wa hili gonjwa letu na wenye stress zao.