Ali Msham na Julius Nyerere

Ngarambi,
Sihitaji mimi kupitia upya historia ya Maji Maji.
Rafiki yangu James Giblin amefanya utafiti na kaandika kitabu: Lifting The Fog of War.

Nakushauri ukisome kitabu hiki.

Huyo Prof. Giblin hapo chini tuko darasani Chuo Kikuu Cha Iowa:

Mwako,
Kufungiwa kule ni kuhifadhiwa hakukuwa kufungiwa kuwa yasisomwe.
Nilipofika mimi na kuyaomba ili niandike maisha ya Abdul Sykes nikipewa.

Yapo mengi kuhusu haya In Sha Allah ukisoma kitabu changu utayakuta.
ila unajua kua wazee wa pwani ni hodari wa kuongeza chumvi??ndio hawa sijawah kuwa mtu wa mwisho akati hajawahi kanyaga shule.so nawasiwasi na izo findings zako
 
yan hapa kuna namna mwalimu nyerere anataka kulinganishwa na mtu flani kua bila yeye basi asingekuepo nyerere wala uhuru.!!
hapa nahisi harufu kali ya udini.kuna watu bado wabhisi wameonewa sana na bado wanonewa.ivyo wanajaribu kufurukuta
 
Troojan,
Usijitishe hakuna kitu kama hicho.
Tufurukute kwa lipi.

Kama kupambana na Waingereza wazee wetu walipambananao na wakawatoa
Tanganyika na historia ndiyo hii tuko hapa tunaijadili.
 
ila unajua kua wazee wa pwani ni hodari wa kuongeza chumvi??ndio hawa sijawah kuwa mtu wa mwisho akati hajawahi kanyaga shule.so nawasiwasi na izo findings zako
Troojan,
Kwani wewe shule ni lile jengo?
 
Kanisome tena maswali yangu uyajibu, wacha porojo.

Nyie ndiyo wale wale akina Kihiyo.

Jikumbushe:

Jee, unajuwa kuwa hata jina TANU lilibuniwa kabla Nyerere hajaja Dar.?

Jee, unajuwa jina hilo lilibuniwa na akina nani?

Hilo swali la kijinga jinga!!
Kanisome tena maswali yangu uyajibu, wacha porojo.

Nyie ndiyo wale wale akina Kihiyo.

Jikumbushe:

Jee, unajuwa kuwa hata jina TANU lilibuniwa kabla Nyerere hajaja Dar.?

Jee, unajuwa jina hilo lilibuniwa na akina nani?

Hilo swali la kijinga jinga sana....!! We sema huamini alichosema Nyerere kuhusu maswali yako?
Kanisome tena maswali yangu uyajibu, wacha porojo.

Nyie ndiyo wale wale akina Kihiyo.

Jikumbushe:

Jee, unajuwa kuwa hata jina TANU lilibuniwa kabla Nyerere hajaja Dar.?

Jee, unajuwa jina hilo lilibuniwa na akina nani?
 
Hakuna jipya hapa.
Mwandishi yule yule, majigambo yaleyale, malalamiko yale yale na wafuasi wa Mo Said walewale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…