Algeria ni majitu jamani, Mapande ya Mtu na sio vijitu kama Timu yetu n.k

Sol de Mayo

JF-Expert Member
Sep 10, 2016
6,324
5,934
Kwa mtu aliefuatilia mechi kati ya Algeria na Senegal, Algeria ni mapande ya Mtu jamani yameshiba kisawasawa ukimpush tegemea kudondoka tu 😀😀 ,,inshort majamaa yana nguvu halafu marefu. Akina Sadio Mane na teamates wanaonekana kama akina Mudathir, Mwantika, Kessy, Ulimwengu 😂😂😂 Aise tukikutananao tusikabe. Heri nusu shari kuliko shari kamili,,,tukubali kufungwa hata 20.

Screenshot_20190628-111841_Google.jpg
Screenshot_20190628-110729_Google.jpg
 
Kwa mtu aliefuatilia mechi kati ya Algeria na Senegal, Algeria ni mapande ya Mtu jamani yameshiba kisawasawa ukimpush tegemea kudondoka tu ,,inshort majamaa yana nguvu halafu marefu. Akina Sadio Mane na teamates wanaonekana kama akina Mudathir, Mwantika, Kessy, Ulimwengu Aise tukikutananao tusikabe. Heri nusu shari kuliko shari kamili,,,tukubali kufungwa hata 20.

View attachment 1140847View attachment 1140848

Smart guy
 
Teh teh labda watu wa Morogoro wasiruhusiwe kuoa na kuolewa!
Hivi hili la sisi waTZ kuwa na vijiumbo vidogovidogo hatuwezi lifanyia kazi? Ni lishe? Kukosa madini fulani? Kukosa vichocheo fulani mwilini? Au ndio turidhike kuwa Muumba ndicho alichotujaalia. Bila shaka linajadilika bila kukufuru.
 
Kama mpira ni maumbo basi wangekuwa mabingwa wa dunia, ila kwenye world cup huwa wanapigwa kama wamesimama vile. Acha uoga mkuu.

Tatizo letu ni kutokujiamini. jana wakati tunatazama mechi nilikaa na jamaa ambaye kila mara alikuwa anasema tu tunafungwa tunafungwa. Kwakweli nilitamani nimzabe makofi lakini nilichojifunza ni kuwa watanzania tunatatizo la kutokujiamini.
 
Algeria wakitufunga goal chache basi lazma tuondoke na 6, hawa jamaa naskia wakiwa wanakimbia wakipita karibu na ww unaweza kuangushwa na ule upepo, wachezaji watu wamezoea kula wali na dangaa wa buku jero, ngoja wakakutane na vipisi vya watu huko

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Tuwekeze mikoa ifuatayo kupata wachezaji warefu na hata wenye miili.
1. MBEYA
2. MARA
3. TABORA
4 ARUSHA
5. MWANZA
6 KILIMANJARO
7. SHINYANGA /SIMIYU
sass mtu mfupi kama wa mkoa ule au mla pweza na urojo mpira hamna

🤣🤣🤣🤣🤣 mkuu mbavu zangu
 
ingekuwa mpira uko hivyo basi Iniesta, Xavi, na Messi wasingecheza mpira
Umemaliza Mkuu angalia umbo la Mane, Reloy/Leroy Sane, Dele Ali,
Kwa mtu aliefuatilia mechi kati ya Algeria na Senegal, Algeria ni mapande ya Mtu jamani yameshiba kisawasawa ukimpush tegemea kudondoka tu 😀😀 ,,inshort majamaa yana nguvu halafu marefu. Akina Sadio Mane na teamates wanaonekana kama akina Mudathir, Mwantika, Kessy, Ulimwengu 😂😂😂 Aise tukikutananao tusikabe. Heri nusu shari kuliko shari kamili,,,tukubali kufungwa hata 20.

View attachment 1140847View attachment 1140848
Unamjua Raheem Sterling, Xavi, Iniesta,Mess,?
Kama huwajui watafute kisha njoo tena
 
Kama mpira ni maumbo basi wangekuwa mabingwa wa dunia, ila kwenye world cup huwa wanapigwa kama wamesimama vile. Acha uoga mkuu.

Tatizo letu ni kutokujiamini. jana wakati tunatazama mechi nilikaa na jamaa ambaye kila mara alikuwa anasema tu tunafungwa tunafungwa. Kwakweli nilitamani nimzabe makofi lakini nilichojifunza ni kuwa watanzania tunatatizo la kutokujiamini.

2014 walifika mbali mkuu. Alimdindia ujerumani na ubora wake mpaka extra time jamaa wakatoboa dakika ya 119. Matokeo yakawa 2-1 na Algeria akaishia hapo.
 
Watu wa Moro na Wengine kwa wapare huku msitusahau kwny taifa staaaaa hahah

Back
Top Bottom