Hawa wanataka wamchafue tuu huyu kijana msomi. Ninamkubali sana kati ya vijana wa afrika mashariki wenye ubongo unaofanya kazi na nilimjua alipokuwa msemaji wa serikali ya kenya alikuwa na uwezo mkubwa wa kufafanua kwa ufasaha mipango yote ya serikali kwa wananchi