Alert Tanzanian Investiment scams

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,188
11,219
Watanzania rahisi ni ghali sana. Zipo aina ya investment zinaendelea ndani ya taifa letu ambazo kwa wenye akili tuna maswali mengi yakujibiwa.

Embu jiulize mtu anakuwa na shamba la matunda nakuwa alika watu wengi kwenye bihashara yake huku akiwaambia waweke pesa zao nakupata high return.

Ndugu zangu mtafilisika nawaambia mtafilisika. Nani anakumbuka Deci? Nakile kimetokea? Mchezo ule ule unaendelea kwa scheam mpya naona matangazo mengi. Watu wanashuhudia kupata faida kubwa na sasa watu wote wamekimbilia uko,

Ndugu zangu mtalia nakusaga meno hata hivi nawaambia soon kilio kitaanza. Hakuna kitu rahisi kisicho na hasara nawahusia soon mtalia maana Deci amekuja kivingine na kiuhalisia hawana hiyo pes kuwarudishia wanacho kifanya nikuchanganya mauzo+ new deposit kulipa madeni now kinachofuwata nikusli Bot waingilie kati.
Namim najiuliza why Bot keep silence while people fund is sink on big hole?

Update
Niliandika Makala hii fupi March 26. 2020 LEO 10.8.2020 KTK MAHAKAMA YA KISUTU MR KUKU AMEPANDISHWA KIZIMBANI 17B UWENDA ZIME.....

MALIZIENI
 
Back
Top Bottom