πΊ ALCOHOL BREATHALYZER β KIPIMA POMBE MWILINI
JIPIME KABLA YA KUENDESHA! π
Kifaa cha kisasa cha kupima kiwango cha pombe mwilini kupitia pumzi. Kina digital display inayokuonyesha majibu kwa urahisi na haraka.
β
Kipimo cha pombe kupitia pumzi
β
Display ya kidijitali
β
Rahisi kutumia
β
Kidogo na rahisi kubeba
β
Kinafaa kwa matumizi binafsi na ukaguzi wa kawaida
β
Husaidia kufanya uamuzi salama kabla ya kuendesha
π° BEI: TSH 55,000/=
π Tunapatikana: Arusha Town
π 0712 350 159