atrash Member Joined May 1, 2011 Posts 75 Reaction score 14 Apr 9, 2023 #1 habari zenu wakuu Natafuta hiyo routor ya Alcatel Linkhub HH41 inatumia sim card kama kuna mdau Anajua duka linalouza anijuze nimetafuta sana kariakoo na posta hakuna mi nipo Dar-es-salaam Attachments WhatsApp Image 2022-12-13 at 2.52.49 PM (3).jpeg 8.5 KB · Views: 11
habari zenu wakuu Natafuta hiyo routor ya Alcatel Linkhub HH41 inatumia sim card kama kuna mdau Anajua duka linalouza anijuze nimetafuta sana kariakoo na posta hakuna mi nipo Dar-es-salaam