T tajirijasiri JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 2,863 Reaction score 3,854 Jul 7, 2015 #1 Wadau naombeni list ya nyimbo za Album ya "Mambo iko Huku" kuna wimbo mzuri sana ulikuwa katika hiyo album "tape cassette". Wimbo huo nimeusahau jina ila ulikuwa side B ya album hiyo. Mkiweza kuniorodheshea nitaukumbuka. msaada wenu please
Wadau naombeni list ya nyimbo za Album ya "Mambo iko Huku" kuna wimbo mzuri sana ulikuwa katika hiyo album "tape cassette". Wimbo huo nimeusahau jina ila ulikuwa side B ya album hiyo. Mkiweza kuniorodheshea nitaukumbuka. msaada wenu please