Album ya bibi Mamndenyi

BADILI TABIA,
TANMO humuweze anaitwa ekarusi kumbakumba
hana linalompita, sijui kama una roho ya Kongosho ya kuvumilia,
mimi mama yenu nilishindwa zamani baada tu ya kupiga naye hizo picha hapo juu.

ukimtaja tanmo moyo wangu unavibrate
 
wewe papito wewe wenzio huwa wanapigaga cm tu kama wameharib kwa wife.

wewe unakuja hadharan, kama namfuata Mentor inahuu??

acha kumsumbua na BADILI TABIA. alafu unamwambia Amyner sie ndio twaku zandandiya.

Amyner hilo jina litakuletea kesi kwa ERICK52 sasa hivi.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…