Hivi kati ya Album hizi, ipi iko hot sana kuliko nyingine?
AFRO EAST by Harmonize
A BOY FROM TANDALE by Diamond Platnumz
LOVE SOUNDS DIFFERENT by Barnaba
A SLAVE BECOME A KING by Darassa
FOA by Diamond Platnumz
ONLY ONE KING by Alikiba
MADE FOR US by Harmonize
DIFINITION OF LOVE by Mbosso
Afro east ina nhoma nyingi kali sana kwa kweli Harmo alituliza sana kichwa kwenye hii album natamani sana aje kurudia kutoa album ambayo ina ngoma kali kama ilivyokuwa kwenye afro eats kila ngoma mule ni moto