Kwenye mauzo ni ngumu kwa kuwa hakuna takwimu Za mauzo. Ila ni meseji pamoja na ukali Wa nyimbo. Yaani hakuna wimbo ambao umewekwa tu ili kujazia tu idadi.Ubora unaweza ukawa subjective... Kwahio ili wote tuwe kwenye mstari inabidi tuulizane ubora kwenye nini ?
- Kwenye mauzo ?
- Kwenye Utunzi ?
- Kwenye kupendwa, Vina au Ujumbe.... ?
- Nyimbo nyingi Nzuri kwenye Album ?
- Tracks za Kutosha ?
- Au.........
Ndani ya bongo mr 11
Nje ya bongo mr 11
Machozi jasho na damu jhaule
Nasikitika utaratibu Wa kutoa albums no kama umekufa Bongo.
Ila zifuatazo kwangu ndio albums bora kupata kutokea.
1. Millennia - Mr. II (Sugu)
2. Itikadi - Mr. II (Sugu)
3. Ulimwengu Ndio Mama - Jay Moe
4. Machozi Jasho Na Damu - Prof Jay
5. aka Mimi - Man Ngwea
6. Vina Mwanzo Kati Na Mwisho -Fid Q
7. Crazy GK - album yenye wimbo Wa Simba Wa Afrika
8. Afande Sele - Mkuki Moyoni
9. AY & FA - yenye wimbo habari ndio hiyo.
Hizi ndio albums za ukweli kimtazamo wangu . Na jambo zuri ni Kuwa ninazo zote hizo katika kaseti. Unadhani IPI imekosekana hapo?
Juma nature album yake ya kwanza "nini chanzo" inaingia humo namba 11. Good thing ninayo kwenye cassette. Album Kali nayo. Akhasante kwa kunikumbusha. Hiyo Ugali sidhani kama inastahili.Mbona sijaona 'Ugali' ya Juma Nature hapo!?
Na ile ya Gangwe Mobb 'simulizi za fasaha' nlikuwa na cassette yake enzi niko class 5...na Albamu Bora kabisa Ya Ferooz ilikuwa na ngoma Kama vile starehe, jirushe, Bosi, n.k...
Ningeisahau vipi album hiyo man!? Imo humo man.