GE2025 Albert Chalamila: Watakaojizima Data Oktoba 29 , tutawawasha Data

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
36,352
Reaction score
23,758
Ndugu zangu Watanzania,

Hiyo ni Kauli ya Mamlaka iliyotolewa Na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Dar es salaam Mheshimiwa Albert Chalamila kuwaasa wale wote watakao kufanya kujitoa akili au kujizima Data na kutaka kuleta vurugu siku ya uchaguzi.

Amesema ya kuwa watashughulikiwa kimyakimya na vyombo vya Dola.

Nami Mwashambwa Lucas nasema ya kuwa watakao jaribu kushiriki ujinga huo washughulikiwe kisawasawa mpaka akili iwakae sawa na wajute kuzaliwa Kwao. Linapokuja suala la kulinda amani na usalama wa Taifa letu ni lazima tuwe wakali na tusicheke na Nyani tukavuna Mabua.

Soma hapo chini 👎

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewatoa hofu wananchi wa jiji hilo kuhusu usalama katika siku ya kupiga kura ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025, akisisitiza kuwa hakuna atakayepata madhara kwa kushiriki katika zoezi hilo la kikatiba.

Akizungumza Oktoba 17, 2025 jijini Dar es Salaam katika kikao na makundi maalumu ikiwemo mama lishe, baba lishe, machinga, vijana na wadau mbalimbali, Chalamila amesema mkoa wa Dar es Salaam una jumla ya wapiga kura milioni 4,420,912 waliojiandikisha, na wote watapiga kura kwa amani na utulivu.

“Watu hao Mheshimiwa Waziri Mkuu tunakuthibitishia kuwa wote watakaojitokeza kupiga kura hakuna jambo lolote baya litakalowakuta. Nyanyukeni, mkapige kura, yale makundi machache yanayojinasibu kwenye mitandao achieni vyombo vya dola, watashughulika nao vizuri kabisa bila kelele na ninyi mtapiga kura zenu kwa amani,” amesema Chalamila na kuongeza,

“Wanaojizima data, tutawawasha data ili ‘network’ ishike vizuri, waone kinachoendelea na sisi tunaitwa ‘Wanachotaka, Tunataka’,” amesisitiza Mkuu huyo wa Mkoa huku akishangiliwa na umati wa wananchi waliohudhuria.

Chalamila amesisitiza kuwa Serikali na vyombo vya ulinzi na usalama vimejipanga kuhakikisha kuwa kila mwananchi anatekeleza haki yake ya kikatiba kwa amani bila bughudha yoyote.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Your browser is not able to display this video.

 
Mpumbavu sana huyo Mwashambwa. Hivi utaacha ujinga lini?
 
Chalamila ni taahira kama wewe Luka
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Hawa viongozi sio wa kuwaamini sana kikinuka yeye anakimbilia airport na kukimbia nchi

Kama anayosema ni ya kweli tumuone na yeye akisimama mbele kukabiliana na waandamanaji na sio kutangaza vita na kutegemea utoe maagizo kupitia simu
 
Chalamila jiandae kukamuliwa ndimu kwenye kishundu chako 29 October
 
Kauli za kibabe kuendeshana kama mang'ombe, wanaojiona wajanja kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…