Alama ya jicho moja kiashiria cha shetani

mr lito

Member
Joined
Jan 25, 2016
Posts
74
Reaction score
31
Habari ndugu zangu, napenda kutoa elimu ya bure juu ya jinsi gani watu wanao muunga mkono shetani wanavyo tumia alama ya jicho moja kama kielelezo cha kumuwakilisha shetani.
Ningependa kuanza na picha ili muelewe nacho taka kusema
1454004968176.jpg

Tukianza kwa upande wa dini zote mbili umetambua ujio wa na bii wa uongo ambaye wakristo wanamwita MPINGA KRISTO na waislam wanamtambua kama MASIH DAJAL yaani nabii wa uomgo.
Kutokana na mafundisho ya kiislam sifa za nabii huyo wa uongo ni kwamba,nabii huyo atakua ana jicho moja,
Safa za nabii huyo zilitajwa miaka taklibani 1400 iliyopita.
Sasa naingia kwenye mahusiano yaliyopo kati ya maelezo ya hapo juu na kwanini watu maarufu wanatumia alama ya jicho moja..???

Watu maarufu wana ingia katika mtego wa kumtangaza nabii wa uongo ajaye (mpinga kristo) kwa kuwa wao wana aidiwa kufanikiwa kimaisha kupitia kumtangaza na kumuunga mkono mtu huyo.
Na sio alama ya jicho moja tu wanayo itumia bali wanatumia alama nyingi,
Mtego wa shetani anao wawekea ni kuwa uiuze nafsi yako kwake na yeye atasimamia mambo yako....
Itaendelea...
1454006190725.jpg
1454006216172.jpg
1454006232428.jpg
1454006232428.jpg
1454006254208.jpg
 
Kitu chcht itategemea na utakavyokipambanua kwani kwani ukomo wako wa kufiriki ungeishia kwa kusema ni stail za kupiga picha nafsi yako isingeridhika..... au ndo una dig deep... Muda unaowaza hayo ungetoa kuhakikisha njia ya chooni haioti nyasi
 
Habari ndugu zangu, napenda kutoa elimu ya bure juu ya jinsi gani watu wanao muunga mkono shetani wanavyo tumia alama ya jicho moja kama kielelezo cha kumuwakilisha shetani.
Ningependa kuanza na picha ili muelewe nacho taka kusemaView attachment 319841
Tukianza kwa upande wa dini zote mbili umetambua ujio wa na bii wa uongo ambaye wakristo wanamwita MPINGA KRISTO na waislam wanamtambua kama MASIH DAJAL yaani nabii wa uomgo.
Kutokana na mafundisho ya kiislam sifa za nabii huyo wa uongo ni kwamba,nabii huyo atakua ana jicho moja,
Safa za nabii huyo zilitajwa miaka taklibani 1400 iliyopita.
Sasa naingia kwenye mahusiano yaliyopo kati ya maelezo ya hapo juu na kwanini watu maarufu wanatumia alama ya jicho moja..???

Watu maarufu wana ingia katika mtego wa kumtangaza nabii wa uongo ajaye (mpinga kristo) kwa kuwa wao wana aidiwa kufanikiwa kimaisha kupitia kumtangaza na kumuunga mkono mtu huyo.
Na sio alama ya jicho moja tu wanayo itumia bali wanatumia alama nyingi,
Mtego wa shetani anao wawekea ni kuwa uiuze nafsi yako kwake na yeye atasimamia mambo yako....
Itaendelea...View attachment 319844View attachment 319845View attachment 319846View attachment 319846View attachment 319847
Hata hapa jf kuna alama ya jicho moja kwenye sehemu inayoonyesha viwers.... je hii nayo vipi maana wangeweka macho mawili ingekuwa sawa
 
Habari ndugu zangu, napenda kutoa elimu ya bure juu ya jinsi gani watu wanao muunga mkono shetani wanavyo tumia alama ya jicho moja kama kielelezo cha kumuwakilisha shetani.
Ningependa kuanza na picha ili muelewe nacho taka kusemaView attachment 319841
Tukianza kwa upande wa dini zote mbili umetambua ujio wa na bii wa uongo ambaye wakristo wanamwita MPINGA KRISTO na waislam wanamtambua kama MASIH DAJAL yaani nabii wa uomgo.
Kutokana na mafundisho ya kiislam sifa za nabii huyo wa uongo ni kwamba,nabii huyo atakua ana jicho moja,
Safa za nabii huyo zilitajwa miaka taklibani 1400 iliyopita.
Sasa naingia kwenye mahusiano yaliyopo kati ya maelezo ya hapo juu na kwanini watu maarufu wanatumia alama ya jicho moja..???

Watu maarufu wana ingia katika mtego wa kumtangaza nabii wa uongo ajaye (mpinga kristo) kwa kuwa wao wana aidiwa kufanikiwa kimaisha kupitia kumtangaza na kumuunga mkono mtu huyo.
Na sio alama ya jicho moja tu wanayo itumia bali wanatumia alama nyingi,
Mtego wa shetani anao wawekea ni kuwa uiuze nafsi yako kwake na yeye atasimamia mambo yako....
Itaendelea...View attachment 319844View attachment 319845View attachment 319846View attachment 319846View attachment 319847

Watch out mkuu jamaa wapo kazini, Hawapendi uanike mambo yao hadharani hivi labda kama na wewe unanguvu ya ziada
 
Hamna mkuu wenyewe wanatambua nguvu ya mungu ni kwuba kuliko wao
 
Back
Top Bottom