Tanzanian Alshabaab member Issa James Mwaisige executed by Alshabaab for allegedly spying for Rwanda and US. A number of Kenyan and Tanzanian jihadists are been detained by Alshabaab on similar accounts -by yassin juma
Japo visa vya vijana kujiunga na alshabaab hapa Kenya vipo, kifo cha bwana kama huyu is one too many!! vijana wanapotoshwa kujuinga na vita hazina tija. sioni dini hapa kwa al shabaaab ujangiri mtupu!!!
Vijana wa kitanzania wanaingia al-shabab kupitia mombasa, mombasa wengine hushawishiwa na pesa/hali ngumu ya maisha+wengine dini, ila wanaingia "secretly"
Leo Mumias bunduki smg saba zimeporwa, nyie endeleeni kukenua! Na video za marehemu al shaababs wannabe ambao jeshi la Polisi la Tanzania liliwashughulikia