Azimio Jipya
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 3,362
- 1,131
Ahmednejad kawashika pabaya Wamarekani, wanachokifanya hivi sasa ni kupreempt information eti ionekane kwamba Alqaeda imechukizwa na kitendo cha "kuwanyanga'nya" ujiko wa kitendo cha 9/11.
Sasa hivi Marekani na duniani kuna kundi kubwa sana la watu wasioamini official narration ya 9/11, hawa wanadai kuwa pamoja na ndege kugonga twin towers wanadai kulikuwa kuna demolition ya majengo iliyofuata baada ya hapo, wanadai kitendo cha jengo la World Trade center number 7 kuanguka bila kugongwa na ndege wala kuungua kwa moto ni ushahidi wa wazi kwamba yale majengo yalikuwa demolited,( wanadai hivyo)
motive ya hiyo demolition ni nini?, ili kupata pretext ya imperialistic wars!.
Ngoja tuone hii issue itunfold vp siku za usoni, ila kama Wamarekani kweli walifanya hii kitu kama False flag operation, basi imekula kwao!
Kikuweli kwangu ni utata mtupu!
Mwanzoni hizi habari zilikuwapo ... Nikitumia lorgic ... nikajiuliz ahivi kweli ile ile issue ... niyakupanga.. ? Kiulwekweli kabisa .. Lile tukio linapangika?*
Lakini karibuni ...peke yangu nikareplay zile picha za matukio kwa makini na mara nyingi ... nikaanza kupata mshangao ...hivi kweli zile ndege ...zinawezaje kutoboa ...upende wa jengo hadi mwingine.... Honestly kwa hapo kuna kitu hakijakaa veama ... Am waiting to see and here more...
Suala la ndege kutoboa jengo kutoka upande mmoja hadi mwingine, ni suala la laws of physics, ndege ilikuwa na speed kiasi gani na uzito kiasi gani, impact yake pia inakuwa kubwa kwa kuwa jengo lilikuwa stationary(halikuwa kwenye mwendo). Pia katika masuala ya ujenzi wa maghorofa, kadiri urefu unapokuwa mkubwa ndipo density ya material inapungua ili kubalance uzito, hivyo ni rahisi ndege na momentum(kani itokanayo na tungamo na mwendo mnyooko) yake kupenya hasa ukiangalia umbo la ndege pia.
Suala la ndege kutoboa jengo kutoka upande mmoja hadi mwingine, ni suala la laws of physics, ndege ilikuwa na speed kiasi gani na uzito kiasi gani, impact yake pia inakuwa kubwa kwa kuwa jengo lilikuwa stationary(halikuwa kwenye mwendo). Pia katika masuala ya ujenzi wa maghorofa, kadiri urefu unapokuwa mkubwa ndipo density ya material inapungua ili kubalance uzito, hivyo ni rahisi ndege na momentum(kani itokanayo na tungamo na mwendo mnyooko) yake kupenya hasa ukiangalia umbo la ndege pia.
Yes.. finally ukweli unaanza kujulikana..
Pia mnaweza click below for more:
(a) The truth: Freemasons behind 9/11 Episode-4
(b) ~In Today's Catholic World (TCW) - Who "Pulled" 9/11~
(c) You'll never think the same way again. . . The Revelation(d) 9-11 Attacks: The Five Dancing Israelis Arrested on 9-11(MOSSAD WALIKAMATWA WAKISHANGILIA BAADA YA TUKIA-BAADA YA KUFANIKISHA MPANGO WAO)
Mbona hayo mabaki ya ndege hayakuonekana?.Njia ya muongo ni fupi,eti kilichopatikana kutoka katika ndege ni tairi na baadhi ya karatasi za nyaraka za abiria.Niambie ni law gani ya Physics inayopelekea tairi la ndege kubaki na pressure yake na karatasi katika tukio ambapo hata chasis ya ndege yenyewe iliyeyuka?.
Mbona hayo mabaki ya ndege hayakuonekana?.Njia ya muongo ni fupi,eti kilichopatikana kutoka katika ndege ni tairi na baadhi ya karatasi za nyaraka za abiria.Niambie ni law gani ya Physics inayopelekea tairi la ndege kubaki na pressure yake na karatasi katika tukio ambapo hata chasis ya ndege yenyewe iliyeyuka?.
For sure the conclusion of that law will be extraction and stealing of oil in the middle east.
Kinachonikwaza ni kwamba hata pentagon hakuna baki la ndege lililoonekana kwamba boeing 777 ilitumbukia mjengoni na maelfu ya galoni za Jet oil kama galoni zaidi ya elfu saba. IF it was true basi damage ingekuwa kubwa kuliko ilivyotokea. Labda ukweli utakuja kujulikana baada ya miaka 70. Maana hata ukweli kuhusu kifo cha JF Kennedy bado umefichwa.
Utingo,
Hapo nyekundu .... unadhani kuna kitu kingine kilitumika kufanya hiyo ajali? ... na sio ndege ..? Lakini ni kweli ndege ziliondoka airport, zilipotea na watu waliokuwamo ndani *na hilo ni tukio la kweli ... Kwahiyo ndege zilihusika .... Bila shaka yeyote ile..Au?
<a href="https://www.jamiiforums.com/international-forum/125362-ugaidi-wa-serikali-ya-marekani.html" target="_blank">https://www.jamiiforums.com/international-forum/125362-ugaidi-wa-serikali-ya-marekani.html
Kuna mambo mengi ya kuweza kukushawishi kuwa 911 US gvt version ina kasoro nyingi.
Ukisoma kitabu cha "9/11 Synthetic terror" (hebu kigoogle, pdf yake iko inapatikana), mwandishi mr Tarpley anasema kuna kipindi intelligence cycle za marekani zilikuwa zinatafuta stratergy au sababu ya kuishambulia Cuba, mmoja akawa anapendekeza warushe ndege ya abiria kwa makusudi, then ikifika anga la cuba, wamarekani wao wenyewe wailipue halafu wasingizie Cuba kwamba ndo imefanya hivyo, then wapate sababu za kuivamia Cuba kijeshi.
huyo aliyetoa wazo hilo alipendekeza zitafutwe ndege mbili zinazofanana, zenye namba sawa, moja iwe na abiria nyingine isiwe na abiria, yenye abiria(maagent ofcourse) iruke, then ikifika sehemu/uwanja wa ndege wa siri itue , then ile isiyokuwa na abiria iende moja kwa moja mpaka anga la cuba, halafu wamarekani wailipue kisha wamsingizie Castro kulipua ndege na kuua watu then wampe kichapo.
nadhani hapo unaweza kupata clue ya false flag operation yenye kuinvolve abiria inavyoweza kufanya kazi, by the way mbona wale waliosemekana ni hijackers wengine walikuja kufahamika kwamba wako hai na wanapeta?- hebu kitafute hicho kitabu kwenye google "9/11 synthetic terror"
Katika hicho kitabu mwandishi ameelezea pia kwamba ndege za siku hizi zinaweza kuwa controlled kutokea kwenye controlling centers, rubani anakuwepo pale tu lakini centres wanaweza kucontrol ndege kwenye kutua, orientation n.k, kwa hiyo chini wakihijack system ya ndege wanaweza kufanya watakavyo, na rubani akabaki kama boya tu, technology inayotumika ni kama ile ya unmanned drones- kwa hiyo kama kuna conspiracy ya kuibamiza ndge mahala, control centres wanaweza kufanya
Watu wanapenda kuambiwa na source za tbc hawataki kutumia akili zao kuweza kujua ukweli kwa kusoma makala mbalimbali kutoka vyanzo mbalimbali vya habari.
Joss ...unachakuongezea hapa ...?
Nimeangalia hizo links, ofcourse kuna maswali mengi kuliko majibu. Hususani kwenye hizo new explosions chini kabisa ya point of impact. Ni kama
Anyway laws of physics huwa hazifeli, ila kwa hii kuna maswali kama ni kweli ndege tu ndo iliangusha jengo lote.