Hata hao Al Jazeera nao ni ' Wapuuzi ' tu kama Wewe hivi Simba SC Kufungwa na TP Mazembe Kwao ilitakiwa iwe ' Sports Leading Story ' Kweli? Nadhani kama wangekuwa ' Professionals enough ' Habari nzuri, njema na ambayo ingevutia Kwao ilipasha iwe ya Simba SC yaifunga TP Mazembe ( kama lingetokea kweli ) na siyo Kinyume na hapo.