We nae yan aongoze kundi kwa point 4 wakati mnyama ana point 7.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Mkuu andaa pesa tu, weka simba win game 2 za home, then draw away, tia laki subiri pesaaaa.Ipo hivi..... vita anakufa kwa mkapa. El merakh anakufa pia. Tunaenda ku droo kwa nwarabu shika maneno yangua haya utarudi kunambia.......
Huyu jamaa hajielewi, yaani tunaongoza kundi kwa point 3 zaidi then analeta utupolo wakeKwa hiyo Simba SC yeye ataenda kujitega tu. Alifikaje hapo juu akiwaacha wenzie point 3
Mkuu tuna michezo miwili ya nyumbani, ndiyo tushindwe kupata hizo point 3+Labda hujielewi yaani hii sare imefanya kundi kuwa gumu na simba hana nafasi hapo ,Vita alivyocheza leo ndivyo atacheza akija Dar
Kwa matokeo hayo simba lazima watafute ushindi kwa udi na uvumba angalau mechi 1 na sare 1 tofauti na hapo mnaweza kuishia makundi mkashangaa
Hiki kilio kingine baada ya kilio cha hamsa-hamsa kufa kifo cha kisengeMechi ipi ya kushinda Simba....!!!!
nafasi yao ni ile wamepoteza jana....
Simba anakuja kufungwa uwanja wa taifa goli tatu kwa moja.....na Vita
Pia anakwenda kupigwa na Alhy kwao..
Ell Mareikk wanakuja kulazimisha droo hapa Tz tunza hizi kumbukumbu......
Katoe photocopy uweke na lamination....
Ni sahihi, but kwa mechi zetu mbili za nyumbani hatuwezi kukosa points 4Tunahitaji point nne kwa uhakika zaidi...hizo tatu hazitoshi kujihakikishia kufuzu.
Ni sahihi, kwa mechi zetu mbili za nyumbani hatukosi hizo point 4Kwa uhakika zaidi ni point 4
Haijalishi but hatuwezi kosa point 4 pale Taifa, tena tukikomaa tunaweza pata point 6 kabisaHizi hesabu za wapi umepiga? Simba akifikisha point 10 bado kazi haijaisha sababu kimahesabu bado ahly na vita wana uwezo wa kufikiaha point 10 au zaidi
Unateseka ukiwa wapi Mkuu?😀😀Hizo pointi kumi umezibandika tu kirahisi rahisi namna hiyo!!!??
hii mijamaa inapenda kutangulia muda!!
Wewe mara ya mwisho kuiona simba inafungwa kizembe taifa ni lini? Sisi hatuzungumzii kupita tunazungumzia kuongoza hili kundi, sisi ni klabu kubwa mechi zetu mbili za Taifa tumevuna point chache ni 4 sio chini ya hapo sasa nyie endeleeni hesabu zenu za yule ashinde simba afungwee ili mradi mfurahie tuKiukweli kimahesabu mpaka sasa bado hili grupu ni gumu japo Simba tunaongoza kwa points
Kwasababu Ahly na Vita bado wana uwezo wa kufikisha mpaka points 11
Hesabu ipo hivi:
Mechi ya marudiano Vita vs Ahly tuassume ni draw, hvyo watavuna points 5 kila mmoja.
Simba assume anashinda dhidi ya Merreikh, atafika 10pt
Kisha mechi mbili za mwisho za Vita akishinda zote atafikisha points 11, Al Ahly nae akishinda mechi mbili za mwisho atafikisha points 11
Hvyo Simba tunaweza kujikuta tumeishia na points 10 tu
Hvyo Simba chonde chonde hili group bado ni gumu kwetu, tupambane tupate ushindi mechi zetu mbili za hapa Kwa Mkapa au basi tuvune 4 points ( 1 win, 1 draw) hapo tutakuwa tumefuzu
Sasa hivi tunawaza tutakutana na nani robo fainali sio kupita kwenye kundii hilo limeshaisha ni kazi ya wachezaji tu kutukusanyiw point zetu kwa mkapaUnateseka ukiwa wapi Mkuu?[emoji3][emoji3]
Safari yetu Msimbazi kuingia robo fainali ndiyo imeanza, tuna hakika wa kupata point 4 nyumbani thereafter uhakika wa kuongoza kundi upo[emoji123][emoji123]
Simba nguvu moja [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Drogba alikuwa hasuki. Kwa umri wangu naweza sema miaka ya 2000 maana ndio wakati niliokuwa na umri wa kujitambua vyema.Sio wote mkuu, hivi humjui Drogba wewe ama!
Labda nikuulize umeanza lini kushabikia mpira?
Game zetu mbli za home zitakuwa ngumu sana, hasa ya Vita, Al Mareikh wamefukuza kocha hujui watakujaje, kiukweli mi bado nahofu sana..Haituhusu yeye afungwe tu..
kikubwa kwa Mkapa hatoki mtu.
Tupambane kufa kupona game ijayo tushinde hapa Dar.Kweli mkuu maana huyu vita akipata sare ataongoza ligi kwa chance ya magoli
Mkuu samahani naombeni kufahamishwa. Ikitokea Simba kapata hizo pt 4 kama tunavyoombea, hakuna uwezekano wowote wa kufangana points na hawa Al ahly na Vita? Na kama tukifungana pt huoni kwamba tunaweza toka kwa tofauti ya magoli? Naombeni maelekezo tafadhali 🙏Haijalishi but hatuwezi kosa point 4 pale Taifa, tena tukikomaa tunaweza pata point 6 kabisa
Water Bwalya hajamuona?..Yeye na kipa kapaisha.
Nadhani ile jezi aliyebadilisha na Lamine Moro ndo shida ilianzia pale hata Kocha Pitso alipokutana na Senzo hivyo hivyo.. Utopolo wana gundu sana.[emoji2957]
Mechi ijayo ndiyo itaamua nani atafuzu kwenda na sisi robo fainali.Hizi hesabu za wapi umepiga? Simba akifikisha point 10 bado kazi haijaisha sababu kimahesabu bado ahly na vita wana uwezo wa kufikiaha point 10 au zaidi