Akitoroka kwenda kwao umfuate?

Nguva Jike

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2018
Posts
1,303
Reaction score
1,884
Habari,

Jana jirani yangu katorokwa na mkewe naona jamaa kakusanya virago anamfuata kwao je ni sahihi?
 
[emoji3][emoji3]Kumbe na wewe umemkumbuka Taikon wa fasihi?!!
Ndiyo mkuu nilivyosoma tu kichwa cha uzi nikajisemea ina maana huyu mtu alidoji kwenye kile kikao cha wanaume kwenye ule uzi wa taikon wa fasihi [emoji2][emoji2]
 
Mkuu kile kikao mwenyekiti akiwa ni Robert Heriel hii ilijadili kama agenda ya tatu, vp ulisinzia kikaoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…