Akitongozwa ananiambia

wewe hapo una setiwa ili siku ukifumania upewe story ya kukuweka sawa au siku akihamia jumla kwa jamaa unaibiwa
 
Bwana mdogo, huyu mtu umemlea hivyo, mtoto umleavyo.............. umemlea hivyo na inaonyesha anakudharau sana, na wala hakufai kuendelea kuwa naye, ni mjinga sana. Sasa shida utakayopata kwa malezi hayo andaa nguvu ya kutosha. Nenda kanisani ukasaidiwe na watumishi wa Mungu kabla mambo yako hajawa mabaya. Tafadhali fanya hivyo.
 

Hahaha mambo ya kitoto hayo anajaribu kujifanya yuko faithful kwako. Mimi naogopa sana wanawake wa namana hii naona kama ma pretender
 
Tehe tehe, huyo nae mrushe roho siku moja kama anavyofanya uone kazi yake.
 
huyo hana lolote
kuna harufu ya kausaliti hapo!

anakupumbaza kiaina!pole!

Vijana wa siku hizi ukiona tayari unamiliki girlfriend wako unajisahau. Anakuonyesha kuwa pamoja na kuwa na wewe bado kuna wanaomtamani. Inaonyesha anapenda kuwa karibu nawe kimawazo, kusifiwa vitu ambavyo wewe huvifanyi kwake.

Kuwa karibu naye.
 
Story yako hope ni ya ki-under 18, kama ni kweli ... nenda naye taratibu na usitegemee sana kama huyo ndio mke so don't give a damn coz bado anajifunza na atapitia mengi sana!Usi-complicate issue, mke wako probably yupo mbali sana ... ahaa haa haaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…