KASHOROBANA
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 3,241
- 964
Lowasa hauziki kwako lakini kwa Watanzania anauzika,Acha unafiki wako wewe mchumia tumbo wa Ufipa
Wewe ni mwehu umetumwaTunaomba Usiku Na Mchana Watupitishie Huyu Mamvi Tutapiga Dable Atakosa Urais Na Huku Pesa Alizoiba Atakuwa Ameludisha Kidogo Kwa Wananchi Kwa Kuwahonga, Huku Tukiwa Na Kauli Mbiu Ileile Kula Ccm Kulala Ukawa.
Tunaomba Usiku Na Mchana Watupitishie Huyu Mamvi Tutapiga Dable Atakosa Urais Na Huku Pesa Alizoiba Atakuwa Ameludisha Kidogo Kwa Wananchi Kwa Kuwahonga, Huku Tukiwa Na Kauli Mbiu Ileile Kula Ccm Kulala Ukawa.
Mzee tupatupa mmeaibisha sana siasa za upinzani Tanzania .....hamtasonga mbele bila kusafisha hii taswira ....hata mruke ngoma vipi ....kazi hii lazima siku moja muiweke sawa ili muaminike tena ....Kama CCM yetu itampitisha Edward N. Lowassa,kutajitokeza utata wa kisiasa na kiuchaguzi. Kwanza,Lowassa hana uwezo wa kuhutubia papo kwa papo. Lazima aandike. Amedhihirisha hilo Arusha.
Pili,Lowassa hataweza kutumia mic ya kukamata mkononi na kutamba nayo jukwaani. Hadhira itajazwa tu hasira. Hili pia limejidhihiri Arusha.
Tatu,Lowassa hawezi maswali ya papo kwa papo. Punde tu ameukimbia Mdahalo wa Mafuruki. Pia,alipotea kujibu maswali Clouds FM ingawa wapambe wake walijinadi kuwepo kwa suala hilo.
Nne,Lowassa amechafuka. Rushwa na ufisadi vinamzonga na vitampotezea stamina wakati wa kampeni.Utata. Tano,Lowassa hauziki. Ni utata mtupu.
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Tabora)
Unafki ni hatari kuliko Uchawi.Kama CCM yetu itampitisha Edward N. Lowassa,kutajitokeza utata wa kisiasa na kiuchaguzi. Kwanza,Lowassa hana uwezo wa kuhutubia papo kwa papo. Lazima aandike. Amedhihirisha hilo Arusha.