nina-kithembe
Member
- Sep 14, 2013
- 63
- 14
Mawasiliano ni kitu kizuri sana katika nyanja mbali mbali hasa kwenye mahusiano. Huyu mwanamke mi simuelewagi mpaka imenifanya nifanye maamuzi magumu.
1. Kila ukimpigia simu-kuipokea ni mpaka misdcalls tano ziite...kakusamehe sana..itaita weeee ndo ataipokea.
2. Ukimpigia simu anakua hayuko tension na simu wala kuiheshim. Japo kutambua anayeongea nae ni mumewe.
3. Kila siku wewe ndio wa kumpigia tu..yeye hakupigii. Na hata ukipiga sometimes mara ajibu kwa dharau na kwa kupayuka.
4. Hupenda kuongea kwa kupayuka na kujibu utumboutumbo pemben kukiwa na rafiki yake au mashoga zake.
5. Ni mwanamke ambaye hunijengea akili ya kuona kwamba ana mwanamme pembeni. Nikichukia yeye ndio hua furaha yake nabkuzidi kuongea huku anacheka au huku anajokes...basi hapo mi ndo nataka nipasue hata simu.
Nimeamua kumblock....nafanya maisha yangu now. Nimevurugwa vya kutosha. Moyo unauma sana now.....but yataisha tu. Au kwa mwenye kujua dawa aniambie. Nimdelete kabisa kwenye memory...koz hapa bado moyo unauma. Na sitak nijipendekeze tena kumpigia koz alishakariri kua lazima ntampigia hata tukikosana vipi.