Akina mama jitokezeni kukemea huu unyama wa Samia

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,112
Reaction score
21,991
GT
Haya siyo mauaji ya kawaida tena ya kiongozi ambaye ni mama anayezaa kwa uchungu. Akina mama mnatakiwa mtoke hadharani kupinga huu unyama haukubaliki hata kidogo mkumbuke hao watoto mmewazaa kwa uchungu leo wanauliwa kama kuku haiwezekani.

Tukutane next time tutakuwa na nguvu zaidi
 
Tulitoka kwa vitendo lakini nyie wengine mlijifungia ndani mnafokoana mashimo mkatuita tuliondamana waleta vurugu..

Mkasahau Hata wale waliotekwa na kuuawa toka mwanzo pia ni watoto wa watu.
Ubinafsi na umimi ndo umetufikisha hapa..!!
Sasa hivi kila mtu kaguswa ndo mnajua kuna uongozi mbovu..
 
Tukutane kwa mara nyingine
 
Umenena vema sana.
 
Back
Top Bottom