Utawasikiaje wakati wako kifungoni CCM? Ikiishaingia Lumumba thinking capacity inalock!Ndugu,
Leo ninewakumbuka sana wakina David Kafulila na Julius Mtatiro. Wapo wapi hawa siku hizi siwasikiiagi Mara kwa Mara . Mwenye kujua habari zao wako wapi aniambie. Nawapendaga sana hawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kafulila ni Katibu Tawala Mkoa wa Songwe.Ndugu,
Leo ninewakumbuka sana wakina David Kafulila na Julius Mtatiro. Wapo wapi hawa siku hizi siwasikiiagi Mara kwa Mara . Mwenye kujua habari zao wako wapi aniambie. Nawapendaga sana hawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutoka kua mbunge hadi kua mtumishi wa umma naengoja mshahara wa mwezi ni aibu ya mwaka.Kafulila mbona alishateuliwa ni DAS huko Mbeya ,akapiga pesa tu Mwisho WA mwezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kafulila mbona alishateuliwa ni DAS huko Mbeya ,akapiga pesa tu Mwisho WA mwezi
Sent using Jamii Forums mobile app
SongweKafulila mbona alishateuliwa ni DAS huko Mbeya ,akapiga pesa tu Mwisho WA mwezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kafulila 2015 aliangushwa na mwana mama wa CCM Hasna Mwilima. Hivyo Kafulila alikuwa kijiweni tu kabla ya kuteuliwa na Magu kuwa mkuu wa watumishi wote wa umma mkoa wa Songwe (RAS). Nadhani kwa hali ya siasa ya zama hizi, ni mmoja wa wanaolia kivulini. Na akifanya vizuri nadhani 2020 atarudishwa jimboni maana huyo mama hajawa na mpact mpaka sasa. Isitoshe Kafulila anajulikana ni kichwa na Magu anamahaba na vichwa.Kutoka kua mbunge hadi kua mtumishi wa umma naengoja mshahara wa mwezi ni aibu ya mwaka.
Watu wanatoka kwenye utumishi wa umma kama kina Mwigulu, Kalemani, Mipango na wengine wanakimbilia ubunge, yeye amekimbia umbunge anakimbilia utumishi wa umma, hii ni aibu.
Msimu wa kilimo huu wamewekeza nguvu hukoNdugu,
Leo ninewakumbuka sana wakina David Kafulila na Julius Mtatiro. Wapo wapi hawa siku hizi siwasikiiagi Mara kwa Mara . Mwenye kujua habari zao wako wapi aniambie. Nawapendaga sana hawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mavyeo ni meeeeengi!!!Wakiteuliwa utawasikia mkuu si unajuwa mtukufu anazo nafasi nyingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ras not dasKafulila mbona alishateuliwa ni DAS huko Mbeya ,akapiga pesa tu Mwisho WA mwezi
Sent using Jamii Forums mobile app