Naomba kuwa mweka hazina chama cha maboifrend.
heheheeeee mmetisha andamaneni bas usipotoa wenzio wanatoa
Hivi inakuwaje mwanamke anasema
ANAKUPENDA alafu Anakupa;
Singlendi akitegemea umpe Samsung galaxy,
Tai akitegemea Wigi la kibrazil, Vifungo vya
shati akitegemea I PAD, Key holder akitegemea
kokoko ... anakuja mikono mitupu akitegemea
umpeleke Mlimani city kula kuku.
ALAFU MNAONGELEA USAWA..
Sasa Chama cha maboyfriend Tanzania (TBA -
Tanzania Boyfriends Association) tumeamua...
Singlendi kwa Sidilia, Boxer kwa bikin,, ukileta
maua unapewa majani ya mwembe (kwanza
vyote ni mazao ya mimea).. Tai kwa Kamba
kwa ajili ya kufungia vinywele vyake vya asili.
Akija mikono mitupu then mnakaa mezani
kupiga story (kula kwao)
ebwana kweli....mie ndio maana demu akitaka pesa yangu sharti marinda yafumuliwe
RABISHHHHHHHH! Hivi wewe usione tunawachuna kwa speed DID YOU EVER TAKE TIME TO PERUZ HISTORY OF A WOMAN.?
Hata tuwachune kiasi gani haitoshi kulipia damage tuliofanyiwa wanawake century n century. Fikiria wanawake hawahesabiwi zamani ila vitoto vya kiume vidogo ndo vinahesabiwa kama watu!? Mxiuuuuu! Mwanamke hana kauli, hana maamuzi hata aolewe na nani. Mwanamke haendi shule, hafanyi chochote anashinda jikoni tu!
DO YOU THINK WE WILL GIVE UP OUR LONG FOUGHT WITH BLOOD AND SWEAT CHANCE TO BREATH.? Hell no! IFIKE MAHALI WANAUME MUONE YATOSHA MABABU ZENU WALIFAIDI KWA NIABA ZENU!
Wanaotoa ni wLe wenye roho ngm waciotak kuwaon watot wazr wakitesekaaaa
yaani we hata kwenye uandishi tu unakua bahili ngumu unaandika "ngm" huko kwenye kuhonga utahonga kweli.
yaani we hata kwenye uandishi tu unakua bahili ngumu unaandika "ngm" huko kwenye kuhonga utahonga kweli.
yaani we hata kwenye uandishi tu unakua bahili ngumu unaandika "ngm" huko kwenye kuhonga utahonga kweli.