Panda taxi.....
Dawa yao ni kununua gari kwikwikwikwi hahahahahaUmepanda daladala na ukakuta viti vyote vimekaliwa.....ukaamua kucmama ili tu uwahi kwny pilika zako.
Sasa kero inakuja kwny hiyo mikoba yenu, tena cku mnabeba mikubwa kama mabegi.
Umecmama karibu na kiti alichokaa mtu na mkoba wako unamletea kero na hilo wewe unaliona lakin haufanyi jitihada za kuliweka vzr....inakuwa kama vile unamkomoa huyo abiria.
jibu la kitoto na halisaidii jamii kubadilika. THINK GREAT!
jibu la kitoto na halisaidii jamii kubadilika. THINK GREAT!
Think twice.....mtu anayelalamikia huyo ukute mwenzie ana mizigo lakin mtu anashindwa kumpokea hata kimfuko/kabeba mtoto.
Panda taxi.....
Ukiomba kumsaidia anakataa
shangaa sasa twin eti analalamika kama yeye anautu si ampokee mkoba?
Safi sana maana ambao hawataki kero za daladala either wana magari yao au wanapanda tax